PinnedPamba Jiji FC@Pamba_JijiApr 28, 2024🔥HISTORIA IMEANDIKWA🔥 Haikua kazi rahisi, asanteni mashabiki zetu na Tanzania kwa ujumla kwa support yenu, HONGERENI SANA 🤍💚 #Sisi_ni_Miamba #MapigoMagumu 💪🏾💪🏾💪🏾1291291351352.1K2.1K107K107K
Pamba Jiji FC@Pamba_JijiMay 8, 2025FT NB: Kama mmechukia mbona Nyie mnaogopa kucheza nao, kama mnajiamini leteni Timu Uwanjani. Nyambafu2972972682683.4K3.4K120K120K
Pamba Jiji FC@Pamba_JijiAug 16, 2024Ligi Imalizike leo bas 😂😂😂 hakika haikua rahisi. Tupewe kombe letu3243241331333.1K3.1K113K113K
Pamba Jiji FC@Pamba_JijiNov 22, 2024FT Pamba Jiji 0-1 Simba Sc Tumepoteza na hatuhami uwanja✅ Nb: Acha makasiriko Mbona ulifungwa 3 na ukahama uwanja 😂1901901761762.6K2.6K90K90K
Pamba Jiji FC@Pamba_JijiApr 27, 2025🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Mnyama analitaka Kombe la AFRIKA ila kuna 🐸🐸 wanalitaka kombe la muungano 😂😂😂 Kama umemind niblock ✅✅96961551552K2K45K45K
Pamba Jiji FC@Pamba_JijiApr 30, 2024🔥HOME SWEET HOME🔥 Mashabiki na wapenzi wa soka Tanzania, mashabiki zetu Rock city MWANZA Tupo njiani. 🤍💚 #Sisi_ni_Miamba #MapigoMagumu 💪🏾💪🏾💪🏾545453531.6K1.6K59K59K
Pamba Jiji FC@Pamba_JijiMay 20, 2024🔥TUNAJIFUNZA🔥 Baadhi ya viongozi wa timu yetu wametembelea ofisi za @YoungAfricansSC leo kujifunza baadhi ya mambo, kuelekea msimu mpya 2024/2025 @NBCPremierLeag Pichani ni @AliKamwe akitoa semina kwa viongozi wetu ⚪️🟢 #Sisi_ni_Miamba #MapigoMagumu 💪🏾💪🏾💪🏾1561561071071.6K1.6K56K56K
Pamba Jiji FC@Pamba_JijiApr 29, 2024🔥MORNING TANZANIA🔥 Tumeingia kibabe sana @NBCPremierLeag haikua kazi rahisi 💪🏾💪🏾 Vipi Mashabiki zetu ulinzi unatosha au uongezeke??💚🤍 #Sisi_ni_Miamba #MapigoMagumu 💪🏾💪🏾10210276761.5K1.5K62K62K
Pamba Jiji FC@Pamba_JijiFeb 28, 2025FT Pamba Jiji 0-3 YangaSc Nb: sisi ndugu tumefungwa 3 nyie kina nani mnaruhusu kugawa utamu wote huo 5-1, tumeuza, nyie mliuza pia?14614657571.4K1.4K54K54K
Pamba Jiji FC@Pamba_JijiSep 21, 2024Eti wanasema “Kwao kama kwetu” Aya ngoja tuone 🤓🤓🤓161620201.3K1.3K34K34K
Pamba Jiji FC@Pamba_JijiSep 21, 2024🔥MTOKO WA TAIFA🔥 Tumechelewa lakini tumetoa kitu 🟢⚪️🤩🤩 Sema ipi umeipenda hapa11711780801.3K1.3K61K61K
Pamba Jiji FC@Pamba_JijiFeb 9, 2025FT Pamba Jiji 1️⃣-0️⃣ Azam Fc Deus Kaseke ⚽️ Nb: Mwendo ni kimyakimya✅️343447471.2K1.2K23K23K