Log inSign up
Samila
9,450 posts
Image
user avatar
Samila
@Samilachi
THE THOUGHTS ARE MINE||SISU
Hell
Joined July 2024
1,279
Following
1,192
Followers
  • user avatar
    Samila
    @Samilachi
    Jan 10, 2025
    Msichana sura mbaya ananunua face towel badala tu atumie duster
    1.4K
  • user avatar
    Samila
    @Samilachi
    Mar 5, 2025
    Ule bois wa Strathmore alikua wapii tukifunza lessons za usiwahi jaribu kudinya msichana akiwa drunk,anyways atalearn either way
    1.3K
  • user avatar
    Samila
    @Samilachi
    Feb 16, 2025
    Niliona serikali inasema vile comrades wanavuta bangi ,wanadhani tutawacha
    668
  • user avatar
    Samila
    @Samilachi
    Dec 29, 2024
    Unasema vile bangi ni mbaya na wenye wanavuta ndio wanakuonesha exams
    641
  • user avatar
    Samila
    @Samilachi
    Feb 3, 2025
    Aliye juu achana na yeye ako sawa,labda umuulize alifika aje huko juu
    498
  • user avatar
    Samila
    @Samilachi
    Jan 3, 2025
    Mnajua watu wa Bungoma watapea Didmus kura ya gavana 2027? Now you know
    1.2K
  • user avatar
    Samila
    @Samilachi
    Feb 8, 2025
    Kujilea si rahisi heri nyinyi mnajiuza
    786
  • user avatar
    Samila
    @Samilachi
    Jan 10, 2025
    Hapa Kenya ukijuana na watu wawili watatu kwa gava hata pesa ya wazee utakula ukiwa 21 years
    590
  • user avatar
    Samila
    @Samilachi
    Mar 7, 2025
    Mbona uchomwe na jua na pedi anaweza fanya hiyo kazi
    573
  • user avatar
    Samila
    @Samilachi
    Jan 9, 2025
    Yaani January iko na mvua... enyewe climate change ni real
    664
  • user avatar
    Samila
    @Samilachi
    Mar 26, 2025
    Ebu mconfirm hiyo chai ya mtoi wa Oscar Sudi tuanze Sherehe sai sai
    7.7K
  • user avatar
    Samila
    @Samilachi
    Dec 27, 2024
    Watu wa village wanashangaa naona Subaru natoka mbio ,hawawezi elewa
    532
  • user avatar
    Samila
    @Samilachi
    Jan 28, 2025
    Kairo alikua anapea vijana pressure mpaka tunaona ni kama hatuweki bidii kumbe jamaa ni kahalifu
    488
  • user avatar
    Samila
    @Samilachi
    Jan 23, 2025
    Sai simps wanakula ugali na kahawa ndio wasikose pesa za valentine
    344

New to X?

Sign up now to get your own personalized timeline!

Create account

By signing up, you agree to the Terms of Service and Privacy Policy, including Cookie Use.

Terms·Privacy·Cookies·Accessibility·Ads Info·© 2026 X Corp.
Don't miss what's happening
People on X are the first to know.
Log inSign up
Advertisement
Advertisement