BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Shambulio baya dhidi ya harusi Iran huenda lilisababishwa na kombora la Marekani - Reuters
Shirika la habari la Reuters liliripoti katika taarifa ya kipekee kwamba, kulingana na uchambuzi wa wataalamu wa silaha waliochunguza picha na video zilizothibitishwa na shirika hilo, mlipuko huo ulisababishwa na kombora la Marekani
Unyanyasaji wa kingono kwa wanawake katika jeshi la Ukraine na propaganda za Urusi
Chaneli za Telegram za Urusi zinatumia madai ya uongo ya ubakaji na picha za wanawake wa Ukraine kuwavuta mamilioni ya watumiaji kwenye mitandao ya propaganda inayounga mkono vita.
Moja kwa moja, Lissu mahakamani: Golugwa ahoji kupuuzwa kwa malalamishi yao
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, inaendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam.
Lifahamu Kombora la 'Kheibar Sheikan' linalotumika na Iran dhidi ya kambi za Marekani
Kheibar Shekan, kombora la Iran lenye masafa ya kati, linasemekana kuwa na nafasi muhimu katika kuchochea ongezeko la mvutano kati ya Marekani na Israel.
Kwa nini makamanda wa ngazi ya juu wa jeshi la Marekani wanajiuzulu?
Kujiuzulu kwa Waziri wa Jeshi la Marekani, Dan Driscoll, kumeibua tena mjadala kuhusu mwenendo wa mambo ndani ya Pentagon.
Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa: Everton inamuwinda Vardy ambaye ni mchezaji huru
Everton inatathmini uwezekano wa kuwasajili Jamie Vardy au Anthony Martial. Wakati huo huo, Wilfried Zaha anaweza kuhamia AC Milan, huku Estevao Willian akifikiria kuondoka Chelsea kutafuta nafasi zaidi ya kucheza.
Vijana wanavyotumia dawa "kukwepa uhalisia"
Akiwa na umri wa miaka 14, Xiaomei, mwanafunzi stadi kutoka mkoa wa pwani nchini Uchina, alimeza dawa ya kikohozi kupita kiasi.
'Wizi wa nyeti': Jinsi mitandao ya kijamii ilivyochochea uvumi uliogeuka mauaji
Zaidi ya watu 80 wamepoteza maisha kutokana na mashambulizi ya umati, uchunguzi wa BBC umebaini baada ya kukusanya takwimu kutoka mataifa sita barani Afrika.
WARIDI WA BBC: 'Ulishawahi kumuona bilionea Mo Dewji akifunza watu elimu ya fedha'?
Kuishi nje ya kipato ni moja kati ya makosa ambayo baadhi ya watu wanafanya kwa kujua au kwa kutojua.
Jinsi nilivyomtafuta aliyemlaghai mama yangu kimapenzi
“Yahoo Boys” wa Nigeria ni vijana wanaotumia simu zao na ujanja wao kuwashawishi baadhi ya wahanga wawape maelfu ya dola.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Majengo 8 yenye rangi za kuvutia zaidi duniani
Matumizi ya rangi kuwasilisha hisia za furaha na uzuri yamekuwepo kwa maelfu ya miaka.
Jinsi papa wanavyojenga urafiki wa karibu baharini
"Papa mara nyingi huonekana kama viumbe wapweke, lakini utafiti mpya unaonyesha kwamba papa wana uhusiano mkubwa na maisha tata ya kijamii."
Nchimbi kufuata nyayo za Maalim Seif au kina Lowassa?
Katika historia ya siasa za Tanzania, wanasiasa waliowahi kuwa na nafasi kubwa ndani ya CCM lakini wakaondoka au kuondolewa wamewahi kuchukua njia tofauti kuhusu siasa na mustakabali wao kwenye nafasi za kisiasa. Nchimbi atachagua njia ipi?
Ndejembi kumrithi Nchimbi, ni mwanasiasa wa aina gani?
Iwapo atathibitishwa kwa mujibu wa taratibu za kikatiba, Ndejembi mwenye umri wa miaka 43 atachukua nafasi iliyoachwa na Nchimbi, ambaye alijiuzulu baada ya kuitumikia kwa takriban miezi 10.
Je, Nchimbi na Gachagua wameponzwa na misimamo yao kisiasa?
Ingawa walihudumu katika nchi mbili tofauti na chini ya mifumo tofauti ya kisiasa, hatima za Emmanuel Nchimbi wa Tanzania na Rigathi Gachagua wa Kenya zimeibua mjadala unaofanana kuhusu uhusiano kati ya marais na manaibu wao, hasa pale tofauti za kisiasa zinapoanza kujitokeza.
Vigogo watano wa CCM waliioondoka katika nyadhifa zao chini ya Rais Samia
Tangu rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuingia madarakani, kuna wanasiasa kadhaa cha Chama cha Mapinduzi (CCM), ambao wameondoka kwa hiari au kwa shinikizo katika nafasi zao.
Tundu Lissu: Kuwa na kesi ya kujibu maana yake nini?
Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa uamuzi kuhusu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini humo, Tundu Lissu, kwamba ana kesi ya kujibu katika shtaka la uhaini linalomkabili. Hatua hii ina maanisha nini?
Je, Iran itaishambulia Ulaya?
Iran inaweza kushambulia vituo vya kijeshi vya Marekani barani Ulaya iwapo Donald Trump ataishambulia Iran tena, gazeti la Financial Times linaripoti.
Nani anafadhili magenge ya wahuni kuchochea ghasia za kisiasa Kenya?
Polisi nchini Kenya wamewakamata watu 37 wanaoshukiwa kuhusika na ghasia za kisiasa, baada ya kukutwa na silaha mbalimbali katika kaunti za Kisumu na Homa Bay. Ni nani yuko nyuma ya makundi haya ya vijana?
Je, Tanzania inaweza kufikia maridhiano ya kisiasa bila CHADEMA na Lissu?
Historia ya Tanzania inaonesha baadhi ya hatua kubwa za maridhiano ya kisiasa zilihitaji serikali na vyama vikuu vya upinzani kukaa meza moja.
Hatari 5 zinazoitishia dunia 2026
Licha ya Afrika kuchangia kwa kiwango kidogo katika mabadiliko ya tabianchi, bado ni miongoni mwa maeneo ambayo hayajajitayarisha vya kutosha kukabiliana na madhara yake ya moja kwa moja.
Vyakula 5 vya Kiafrika ambavyo sayansi inaviona kuwa bora kwa afya
Kuanzia Moringa hadi Fonio, na ikijumuisha Baobab, Mtama, na Teff, vyakula kadhaa vya Kiafrika vinajulikana kwa utajiri wake wa virutubisho.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 4 Septemba 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 4 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 4 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 3 Septemba 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































