Usafiri nafuu
kwa bei
mnayokubaliana kwa pamoja
Huduma nafuu
za usafirishaji,
mizigo na chakula
Chaguo
na fursa sawa
kwa wote
Jamii ya inDrive
daima hujaribu
kuwa bora zaidi
App ya inDrive
App moja, huduma lukuki
Usafiri ndani ya mji
Usafiri bora kila wakati kwa bei nafuu
Mji hadi Mji
Chagua starehe kwa bei nafuu katika kila hatua ya safari
Usafirishaji
Usafirishaji wa haraka wa mizigo kwa biashara na watu wa kawaida.
Usalama
Usalama wako ni kipaumbele chetu
Usalama kwanza, kila wakati.
Tunafanya juhudi zote kuhakikisha kila safari na inDrive ni salama – kwa kila mtu, kila wakati – kwa sababu usalama wako ni kipaumbele chetu kikuu.
Yanayojiri inDrive
Mchango katika Jamii: kuleta mabadiliko
Hatuishii tu kwenye usafirishaji, bali pia tunawezesha. Miradi ya kijamii ya inDrive inasaidia jamii mbalimbali kupitia upatikanaji wa elimu, sanaa, michezo na fursa sawa.
Pata maelezo zaidiHabari mpya kuhusu miradi yetu inayosaidia jamii
Jifunze zaidi kuhusu hadithi za michango yetu
Soma habari zote