Kusafiri kwa kukodi ni njia mpya ya kuendesha

Uhuru wa kwenda popote bila kulipia maegesho, mafuta au matengenezo. Unachohitaji pekee ni programu na unakoelekea.

Image

Huduma zetu

Bidhaa na vipengele hutofautiana kulingana na nchi. Baadhi ya vipengele vilivyoorodheshwa hapa huenda visipatikane katika programu yako.

Tunakuletea Bolt 7

Bolt 7 ni skuta ya kizazi kipya, iliyotengenezwa pamoja na mamlaka za miji na kuundwa kwa kuzingatia changamoto za kila siku za abiria. Ina skrini iliyojengewa ndani yenye ramani, mwongozo wa maegesho wa wakati halisi, vipengele imara zaidi vya usalama na mifumo ya Akili Mnemba (AI) iliyojengewa ndani ili kusaidia kupunguza uendeshaji kwenye njia za watembea kwa miguu na kufanya skuta za matumizi ya pamoja ziwe salama zaidi kwa kila mtu.

Image
Kuhusu sisi

Bolt ni programu bora ya kwanza ya usafiri wa umbali mfupi kwa Uingereza.

Tunafanya miji iwe kwa ajili ya watu, kwa kutoa njia mbadala zilizo bora kwa kila dhumuni la huduma za magari binafsi, ikiwa ni pamoja na safari za kukodi mtandaoni, magari ya pamoja, skuta, na uwasilishaji wa chakula na mahitaji ya nyumbani.

Bolt app open on a smart phone.

Pata pesa na Bolt

Ungana na zaidi ya washirika milioni 4.5 dunia nzima wanaopata pesa kupitia Bolt. Kwa madereva, matarishi, wafanyabiashara, na wamiliki wa motokaa wanaotafuta njia mpya za kuongeza mapato.

Pata pesa kama dereva wa Bolt

Endesha na upate pesa

Abiria wetu zaidi ya milioni 200 watakutumia maombi mengi ya safari. Uhitaji ukiwa mkubwa, unaweza kupata pesa zaidi.
Image
Kuwa tarishi mshirika wa Bolt

Pata pesa kwa kila uwasilishaji

Unaamua ni lini na mara ngapi utawasilisha, siku za wiki, jioni, wikendi au saa kadhaa, uamuzi ni wako.
Image
Ongeza mapato kama mfanyabiashara

Ongeza mauzo na ufikie wateja wapya

Mamilioni ya watumiaji wetu wanaagiza chakula au bidhaa kutoka kwenye migahawa na maduka kama lako.
Image
Unganisha Bolt na motokaa yako na upate pesa zaidi

Kuza biashara ya usafirishaji

Kama mmiliki wa motokaa na mshirika wa Bolt, unaweza kusimamia mali zako kutoka kwenye dashibodi moja iliyo rahisi kutumia na kukuza biashara yako ya usafirishaji.
Image
Vipengele vipya

Bolt Send

Uwasilishaji wa vifurushi unapohitaji. Tuma au pokea vitu siku hiyohiyo. Angalia kwenye programu vipengele vinavyopatikana.

Image

Pakua programu zetu

Inapatikana kwa vifaa vya iOS na Android.

Njia ya haraka na nafuu ya kusafiri.

Inapatikana kwa vifaa vya iOS na Android.
Pakua programu zetu

Chakula unachopenda, kimewasilishwa haraka!

Inapatikana kwa vifaa vya iOS na Android.
Pakua programu zetu

Taarifa na masasisho

Replacing cars with shared scooters avoids greenhouse gas emissions
Micromobility26 Jun 2026

Replacing cars with shared scooters avoids greenhouse gas emissions

In spring 2024, we surveyed 2,000 riders in 14 countries to see if they chose scooters over cars in 2023. Based on the results, we estimated the CO2 emissions avoided