Nenda kwa yaliyomo

Kipeuo cha pili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Image
Alama ya kipeuo cha pili.
Image
Kipeuo cha pili cha namba 25 ni 5

Katika hisabati, kipeuo cha pili (kwa Kiingereza: square root) cha namba x ni namba y inayolingana y2=x.

Kwa mfano, 2 ni kipeuo cha pili cha 4 kwa hivyo 22=4

3 ni kipeuo cha pili cha 9 kwa hivyo 32 = 9

Kwa programu ya takwimu R

[hariri | hariri chanzo]

Ili utafute kipeo cha pili kwa lugha ya programu ya takwimu R uandike :

> sqrt(25)

[1] 5

  • Saleh, A. M. E., & Ehsanes, M. (2001). An introduction to probability and statistics. Wiley.
  • Peck, R., Olsen, C., & Devore, J. L. (2015). Introduction to statistics and data analysis. Cengage Learning.
Image Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipeuo cha pili kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.