Yaani upinzani haupo Bungeni,Lissu yuko nje,Zitto chama chake Zanzibar ni sehemu ya Serikali,Lema yuko huko 😃Wakina Mdee ndio hao wabunge ukali ukiwa umeisha 😜 Mbowe ndio huyo anajitetea kesi ya Ugaidi.
Sasa CCM huyu anasema kuna wahuni ( Polepole) mwingine nchi Itauzwa😳