Log inSign up
abymzigua
3,777 posts
Image
user avatar
abymzigua
@Abyasmzigua
Mwandishi wa riwaya.
Tanzania
Joined November 2021
517
Following
28.8K
Followers
  • Pinned
    user avatar
    abymzigua
    @Abyasmzigua
    Aug 22, 2024
    Ahsanteni sana kwa support yenu. Ahsante kwa mnaoendelea kunifollow. Kesho asubuhi tutaiendeleza story yetu...
    Image
    00:00
    37K
  • user avatar
    abymzigua
    @Abyasmzigua
    Jul 11, 2024
    — Huyu hapa, kijana ambaye aliitetemesha dunia kwa kuivua nguo mifumo ya CIA, akiwa na miaka 15 tu! — Nyaraka zote ambazo wao waliamini ni za siri na hakuna wa kuweza kuzifikia, kijana alizifunua na kuzigeuza atakavyo. — Jina lake ni KANE GAMBLE (Tamka: Ken Gembo)... Na huu ni
    Image
    419K
  • user avatar
    abymzigua
    @Abyasmzigua
    Jun 15, 2024
    — Anasadikika kuwa mtu mwenye akili sana duniani. Alifanya kazi Marekani katika idara nyeti za nchi hiyo, baadaye akatimkia Urusi. — Wakati jeshi la Marekani likimuweka kwenye orodha ya watu WANTED zaidi, Putin amempokea, akamtunuku URAIA na ameahidi kumlinda kwa GHARAMA yoyote
    Image
    394K
  • user avatar
    abymzigua
    @Abyasmzigua
    Oct 24, 2024
    — Novemba 14, mwaka 1995, unabaki kuwa USIKU wenye story ya KUTISHA nchini China. — Kitendawili cha ajabu sana kilitokea kwenye mji mkuu wa nchi hiyo. Beijing. — Mkasa huu maarufu wa kusisimua, unajulikana kama BUS NO. 375. Karibu...!👇🏽
    Image
    404K
  • user avatar
    abymzigua
    @Abyasmzigua
    Jun 17, 2024
    Kichwa hiki... — CIA, MOSSAD, na mashirika mengine ya kijasusi duniani, wote waliingia chimbo kumsaka, wakaambulia patupu kwa zaidi ya miaka 25!!! — FBI wao wakaweka kitita cha dola milioni tano, kwa yeyote wa kukileta kichwa chake. — Unasema OSAMA BIN LADEN ni hatari? Bado
    Image
    473K
  • user avatar
    abymzigua
    @Abyasmzigua
    Nov 19, 2023
    Mkasa wa mwanangu Dully na pisi ya kihindi... Tiririka nao...😁👇
    Image
    211K
  • user avatar
    abymzigua
    @Abyasmzigua
    Jun 11, 2024
    Hii nchi!😂😂😂💔
    Image
    90K
  • user avatar
    abymzigua
    @Abyasmzigua
    Nov 2, 2024
    Yupo mwamba mmoja anaitwa ANDREW CARLSSIN.... — 2003 alivuna mamilioni ya dola kwenye biashara ya mtandao. — Walipomuhoji, akawajibu yeye ni binadamu wa mwaka 2256, amesafiri kurudi nyakati za nyuma, hivyo hata kitu cha kutokea kesho kutwa anakijua. — Alipoona wanamzingua
    Image
    346K
  • user avatar
    abymzigua
    @Abyasmzigua
    Jun 13, 2024
    "Mtoto wetu wa miaka miwili alichezea bunduki, akamfyatua kwa bahati mbaya baba'ake na kumuua!" Haya maelezo aliyatoa Sharon Kinne. Mrembo ambaye alitoroka gerezani, akatafutwa kwa zaidi ya miaka hamsini sasa bila ya kupatikana. Wamexico walimuita LA PASTOLERA. Wakimaanisha
    Image
    302K
  • user avatar
    abymzigua
    @Abyasmzigua
    Nov 20, 2023
    Mkasa wa mwanangu Dully na pisi ya kihindi... SEHEMU YA PILI! Tuendelee pamoja...😁👇
    Image
    208K
  • user avatar
    abymzigua
    @Abyasmzigua
    Jun 20, 2024
    MAPENZI NI UTAPELI? — Utanipa jibu ukimaliza kuisoma hii...
    Image
    385K
  • user avatar
    abymzigua
    @Abyasmzigua
    Jun 30, 2024
    Ila WANAWAKE!!!🙌🏾
    Image
    383K
  • user avatar
    abymzigua
    @Abyasmzigua
    Nov 6, 2024
    — Hii ni filamu yenye kisa kikali mno. — Mzigo unaitwa CRIMINAL, ni wa mwaka 2016. — Kama hauna movie ya kutazama hivi karibuni, nipe nafasi nikusimulie kidogo inahusu nini... — Baada ya hapo utachagua uitafute au uiache tu. Twen'zetu!👇🏽
    Image
    285K
  • user avatar
    abymzigua
    @Abyasmzigua
    Nov 21, 2023
    Mkasa wa mwanangu Dully na pisi ya kihindi... SEHEMU YA TATU Tuendelee wazee...😁👇
    Image
    190K

New to X?

Sign up now to get your own personalized timeline!

Create account

By signing up, you agree to the Terms of Service and Privacy Policy, including Cookie Use.

Terms·Privacy·Cookies·Accessibility·Ads Info·© 2026 X Corp.
Don't miss what's happening
People on X are the first to know.
Log inSign up
Advertisement
Advertisement