Replying to @ayubu_madenge
Hili kundi limeanza mwaka 2007, hawa kwenye video ni generation ya tatu. Kundi lilianza na vijana baadhi yao ni Patricia, Nyangoma, Kokode, Alex (Marehemu sasa alipata ajari ya baiskeli akiwa na Patricia), Eda na wengine. Hawa niliowataja ndo seniors wa kundi.



