MAMBO MANNE MUHIMU KWENYE GOLI LA CHAMA
1. Limefungwa na Chama wasiompenda
2. Pasi ya Mpanzu wanaemtamani lakini hawampati
3. Goli halitafungwa tena Tanzania
4. Goli bora la msimu Wamefungwa Yanga.
π£Ahmed Ally
Tangu mchezo wa Al Ahly SC na Simba pale Cairo AYOUB LAKRED Hakurejea na Team Nchini badala yake Alichukua Ndege kwenda Nchini kwao Morroco kuhudhuria Mazishi ya baba yake mdogo aliemlea
Ayoub Lakred alicheza mchezo ule akiwa na huzuni kubwa moyoni, Amemaliza Jambo lake na muda