Clouds Media
80.6K posts
A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.
- “Kama leo mkipiga Yope aliyonishirikisha Innoss’B nahisi itawainua watanzania wote waliolala majumbani kutokana na janga hili la Corona” @diamondplatnumz #BongeLaMpambanaji
- Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe amesema kwenye mechi yao ya fainali dhidi ya Argentina anategemea sapoti kubwa kutoka barani Afrika kwa kuwa Wafaransa wengi asili yao ni Afrika .
- "Kuna mtu alishawahi kuomba lift kwenye Difenda hakupewa? Kwanini wanapanda watuhumiwa tu? Kwa mfano Difenda linakwenda Bunju, Tegeta, Kunduchu, Kitunda au Mwanagati, Kivule analiona kabisa limeandikwa Polisi na wewe unakwenda maeneo hayo kwanini usilisimamishe ukaomba lift?
- “Feisal bado anaendelea kupokea Mshaharaa Yanga, amepokea hadi mwezi January, lakini baada ya hapo akaunti yake ilianza kuwa na shida kwa kuwa inarejesha pesa ila kila mwezi tunamuingizia pesa lakini zinarudishwa na ushahidi tunao, tumeomba akaunti mbadala ili tumuwekee pesa
- Clouds Media inasikitika kutoa taarifa ya kifo cha Gardner G Habash, ambaye alikuwa mtangazaji wa kipindi cha Jahazi kilichotokea usiku wa kuamkia leo. Taarifa zaidi kuhusu msiba zitatolewa baadae. Tunatoa pole kwa ndugu, jamaa, marafiki, wafanyakazi wenzake na mashabiki wa
- Kamanda wa Polisi Wilaya ya Ukerewe Masoud Mohamed amefariki dunia, Afande Masoud alijizolea umaarufu katika mitandao ya kijamii kwa usomaji wa Quran. Taarifa zaidi kutoka Jeshi la Polisi zitakujia.
- Mfanyabiashara kutoka Kariakoo amefunguka ya moyoni na kusema hatamani kumrithisha mtoto wake biashara ila anatamani aingie TRA maana huko ukiingia unajichotea. #KutokaKariakoo
00:00














