Log inSign up
Boniface Jacob
17.9K posts
Image
user avatar
Boniface Jacob
@ExMayorUbungo
Ex-mayor @Ubungo Municipal Council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov. Ubungo councilor 2010-2020 BAEd Udsm CHADEMA CC MEMBER
Dar es salaam
Joined April 2013
8,546
Following
582.6K
Followers
  • user avatar
    Boniface Jacob
    @ExMayorUbungo
    Oct 7, 2024
    Ufunuo 2 :10 "Usiogope hata kidogo yale ambayo itakulazimu kuteseka. Sikiliza! Ibilisi anataka kuwajaribu kwa kuwatia baadhi yenu gerezani; nanyi mtapata dhiki kwa muda wa siku kumi. Muwe waaminifu hata mpaka kufa, nami nitawapeni taji ya uhai."
    Image
    371K
  • user avatar
    Boniface Jacob
    @ExMayorUbungo
    Oct 9, 2024
    Alhamdulillah ..! Baada ya mapumziko mafupi sasa nipo tayari kuendeleza mapambano kuanzia pale nilipoishia mara ya mwisho tarehe 18 Sept 2024. Maoni ya wengi wanasema niendeleze staili ya "upara" hata baada ya kutoka gerezani. Au sipendezi nakuwa kama Besasiri wa Alparslan.?
    Image
    229K
  • user avatar
    Boniface Jacob
    @ExMayorUbungo
    Sep 10, 2020
    AAAAAAAAAAM BACK.!
    Image
  • user avatar
    Boniface Jacob
    @ExMayorUbungo
    Sep 8, 2024
    Medy uliniambia nisiogope, na kwamba kila mtu ataonja mauti, lakini sikujua mwisho wako utakuwa wa namna hii.! Fikiria mdogo wako uliyekuwa naye na kuishi naye miaka 66 leo ameshindwa Kukutambua kwa kukutizama uso wako. Kama siyo ile alama yako ya mguuni huenda familia
    Image
    385K
  • user avatar
    Boniface Jacob
    @ExMayorUbungo
    Sep 12, 2024
    Jina: Faustine Jackson Mafwele Umri: miaka 47 Kabila : Mkerewe Dini: Mkristo Makazi : Mikocheni Kazi: Afisa mwandamizi wa polisi Cheo: Kamishina Msaidizi wa Polisi Madaraka: Zonal Crime Officer Tuhuma: Kuendesha genge la uhalifu dhidi ya binadamu. Mawasiliano: +255
    Image
    468K
  • user avatar
    Boniface Jacob
    @ExMayorUbungo
    May 31, 2020
    Welcome back home, The Game Changer.!
    Image
  • user avatar
    Boniface Jacob
    @ExMayorUbungo
    May 13, 2025
    Che che che cheeeeeeeeeeeeee..! Kesi ishakuwa ngumu hiiiiiii.. Naona Wananchi wameununua ugomvi rasmi.
    Image
    218K
  • user avatar
    Boniface Jacob
    @ExMayorUbungo
    Jan 25, 2023
    Chuma hiki hapa,ndani ya Ardhi ya Dar es Salaam
    Image
    140K
  • user avatar
    Boniface Jacob
    @ExMayorUbungo
    Nov 10, 2025
    "Ndipo Samweli akatwaa jiwe, na kulisimamisha kati ya Mispa na Sheni, akaliita jina lake Ebenezeri, akisema, Hata sasa BWANA ametusaidia." 1 Samweli 7:12
    Image
    85K
  • user avatar
    Boniface Jacob
    @ExMayorUbungo
    May 7, 2025
    Sijua baada ya kile kama kingekuja hiki,na sijui baada ya hiki kitakuja kipi..! Ninachojua ni kitu kimoja tu. CHADEMA ni kama Meli ya Kigiriki,pamoja na Mawimbi mengi,makubwa na makali lakini CHOMBO kitavuka salama.!
    Image
    153K
  • user avatar
    Boniface Jacob
    @ExMayorUbungo
    May 19, 2025
    Asanteni Dar es salaam..........!
    Image
    85K
  • user avatar
    Boniface Jacob
    @ExMayorUbungo
    Jan 12, 2025
    Nilikuwa mfuasi mzuri wa siasa za Rais @WilliamsRuto kuanzia akiwa KANU hadi sasa Rais wa Kenya kupitia UDA. Nimejikuta najutia sana kupenda siasa za @WilliamsRuto baada ya kuwa Rais wa Kenya. Hasa baada ya operesheni zake za utekaji nchini Kenya . Mbaya zaidi Nairobi ambayo
    Image
    Image
    265K
  • user avatar
    Boniface Jacob
    @ExMayorUbungo
    Aug 2, 2024
    Humu tuuuuuuu,Humu tuuuuuuuuu. Kudadadekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
    Image
    173K
  • user avatar
    Boniface Jacob
    @ExMayorUbungo
    May 12, 2025
    Asa itakuwaje..? Wananchi wenyewe ndo kama hawa. Raia wamegoma kabisaaa. Kesi ishakuwa ngumu hii.
    Image
    133K

New to X?

Sign up now to get your own personalized timeline!

Create account

By signing up, you agree to the Terms of Service and Privacy Policy, including Cookie Use.

TermsยทPrivacyยทCookiesยทAccessibilityยทAds Infoยทยฉ 2026 X Corp.
Don't miss what's happening
People on X are the first to know.
Log inSign up
Advertisement
Advertisement