Log inSign up
Farhan Kihamu Jr
18.1K posts
Image
user avatar
Farhan Kihamu Jr
@FKihamu
VISIT MOROGORO 🇹🇿 | MKULIMA | Signed under Clouds Media Group | Fa Inna Ma’al Usri Yusra Inna Ma’al Usri Yusra
Morogoro, Tanzania
instagram.com/jr_farhanjr?ig…
Joined December 2015
1,196
Following
548.3K
Followers
  • user avatar
    Farhan Kihamu Jr
    @FKihamu
    Mar 23, 2023
    WALID MZIZE, Mwanetu ameslimu🙏🏻 Maashallah.
    Image
    177K
  • user avatar
    Farhan Kihamu Jr
    @FKihamu
    Aug 9, 2023
    Unahitaji utulivu sana kukubali kuwa Aucho ndio Yanga na Yanga ndio Aucho.
    Image
    123K
  • user avatar
    Farhan Kihamu Jr
    @FKihamu
    Mar 18, 2023
    MCHEZAJI BORA KUWAHI KUTOKEA HAPA NCHINI🦁
    Image
    97K
  • user avatar
    Farhan Kihamu Jr
    @FKihamu
    Jun 10, 2023
    Mwafrika tu kutoka Cameroon anawafundisha mpira kwenye ardhi yao🙌😀
    Image
    110K
  • user avatar
    Farhan Kihamu Jr
    @FKihamu
    Aug 13, 2023
    MORO BOYS👊
    Image
    62K
  • user avatar
    Farhan Kihamu Jr
    @FKihamu
    Nov 19, 2022
    Mohamed Hussein ambaye ni Beki wa kushoto wa Simba ana assists nyingi kuliko Kiungo yoyote wa Yanga. Ana assists nyingi kuliko Mchezaji yoyote wa eneo lolote ndani ya Yanga.
    Image
  • user avatar
    Farhan Kihamu Jr
    @FKihamu
    Jun 3, 2023
    Alhamdulillah🙏🏻! I wrote my story in African Football.
    Image
    125K
  • user avatar
    Farhan Kihamu Jr
    @FKihamu
    Jun 30, 2024
    MWANANGU nisikilize kwasasa Wanawake watakuacha saaana tu, Mabinti hawatodumu kwenye maisha yako ila lisikupe shida, kanuni ya maisha ni kuwa Paka hakai na Msela, mara atakwambia haupo romantic yani hujui kubembeleza, utawezaje Mwanangu wakati kichwa kinawaka moto na maisha
    Image
    854K
  • user avatar
    Farhan Kihamu Jr
    @FKihamu
    Apr 16, 2023
    Aishi hakucheza, Ally Salum ameanza na Simba ameshinda. Siwezi kwenda redioni kudanganya watu, Daktari hawezi kumpa Mgonjwa sumu😀
    Image
    90K
  • user avatar
    Farhan Kihamu Jr
    @FKihamu
    May 14, 2024
    LAZIMA MLE UBWABWA WANANGU😀
    Image
    251K
  • user avatar
    Farhan Kihamu Jr
    @FKihamu
    Jan 21, 2024
    Inonga ni top player sana, kapigwa kiwiko kavuja damu ametibiwa kaamka kaanza kuidai penati kwa refa kwa kushinikiza mpaka Refa akaenda kwenye VAR, wakapata penati Kongo, elite mentality.
    Image
    103K
  • user avatar
    Farhan Kihamu Jr
    @FKihamu
    Apr 10, 2023
    Kuna rekodi gani nyingine imebaki ili ivunjwe na Mnyama😀
    Image
    123K
  • user avatar
    Farhan Kihamu Jr
    @FKihamu
    Apr 23, 2023
    Nimekosa Mimi, Nimekosa Mimi, Nimekosa sana😀
    Image
    122K
  • user avatar
    Farhan Kihamu Jr
    @FKihamu
    Feb 19, 2023
    HUYU NI GOLIKIPA? Hapana kuna namna anatudanganya sana, Diarra🙌
    Image
    175K

New to X?

Sign up now to get your own personalized timeline!

Create account

By signing up, you agree to the Terms of Service and Privacy Policy, including Cookie Use.

Terms·Privacy·Cookies·Accessibility·Ads Info·© 2026 X Corp.
Don't miss what's happening
People on X are the first to know.
Log inSign up
Advertisement
Advertisement