||CEO - Founder of FUMBO FOREST COMPANY LIMITED||Board Member of Directors of MAGAMBA INVESTMENT COMPANY LIMITED
#ManchesterUnited and #Simba Die hard fan.
Good Morning Ladies and Gentlemen
Usually your biggest trials come right before your biggest breakthroughs. Keep pushing on!
Have a Great and Blessed Friday ❤️
Wabunge hawana imani na CAG, wananchi wana imani na CAG, wabunge ni wawakilishi wa wananchi, sasa 2020 ni kubandika wabunge wenye imani na CAG mchezo uishe!
Mtoto wa kike unaondoka nyumbani huna ratiba unazurura kama mwenge wa Jamhuri,unajidai,unajiamini una mdomo mkavu na kauzu kama Dagaa kisa tu uzuri wako ndio unakuvuruga! My Dear utayachosha tu maungo Yako ya uzazi,sisi wanaume hatuzeeki! Tuombe uzima!
Kuingia MSIKITINI ni BURE, lakini MISIKITI ni MITUPU. Na kuingia kwenye KUMBI ZA STEREHE ni kwa MALIPO na kumbi ZINAFURIKA WATU. Hivi kungekuwa na kiingilio MISIKITINI ingekuwaje?
Ni kitu cha AJABU sana! Watu wapo tayari kuununua MOTO kwa FEDHA?