Log inSign up
GIFT WILLIAM🇹🇿
5,319 posts
Image
user avatar
GIFT WILLIAM🇹🇿
@GiftWilliam_
Son of Africa | Proud Tanzanian🇹🇿 | Educationist. #BeatitudoEstOmnia.
Joined May 2020
10K
Following
13K
Followers
  • user avatar
    GIFT WILLIAM🇹🇿
    @GiftWilliam_
    Dec 31, 2022
    Huyu mbona ni kama amejimilikisha kombe. Kila muda kashika yeye.😡
    Image
    49K
  • user avatar
    GIFT WILLIAM🇹🇿
    @GiftWilliam_
    May 20, 2023
    Leo Rais @SuluhuSamia Anazindua ikulu mpya iliyojengwa dodoma. Utofauti wa eneo la Ikulu ya Dar es salaam na Dodoma Dar es Salaam: Ekari 41 Dodoma: Ekari 8,473 Eneo la Ikulu ya Dodoma ni zaidi ya mara 200 ya eneo la Ikulu ya Dar es Salaam. Mama anachapa kazi #KaziIendelee
    Image
    Image
    Image
    Image
    25K
  • user avatar
    GIFT WILLIAM🇹🇿
    @GiftWilliam_
    Jun 9, 2023
    Tuachane swala la bandari kidogo. Sikuhizi umeme haukatiki hovyo na sioni watu wakipongeza hili au mazuri huwa hayaonwi.
    Image
    29K
  • user avatar
    GIFT WILLIAM🇹🇿
    @GiftWilliam_
    Feb 26, 2023
    Kwanza tafuta Nafasi, ukipata nafasi onesha uwezo, ukionesha uwezo utajenga jina na kuaminika, ukiaminika utaanza kupata hela…… na katika kupitia hatua hizi lazima ukubali kupitia maumivu ya mchakato wa lazima “~Ruge Mutahaba. #RipLegend #RUGE
    Image
    8.6K
  • user avatar
    GIFT WILLIAM🇹🇿
    @GiftWilliam_
    Jul 29, 2022
    Kesho tarehe 30 Julai Filamu ya #Tanzania Royal Tour itaoneshwa katika Televisheni nchini #China kwa mara ya kwanza kupitia Kituo cha Hainan #TV.Filamu hiyo ilishaoneshwa kwa njia ya mtandao wa Bilibili mapema mwezi huu.Watazamani milioni 7.5 wanatarajiwa kutizama filamu hiyo.
    Image
  • user avatar
    GIFT WILLIAM🇹🇿
    @GiftWilliam_
    Dec 18, 2023
    Tayari kulitumikia taifa langu🇹🇿.
    Image
    3.7K
  • user avatar
    GIFT WILLIAM🇹🇿
    @GiftWilliam_
    Jul 27, 2023
    Waziri mkuu wa Tanzania @KassimMajaliwa_ akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa shirikisho la Urusi #Russia katika kilele cha mkutano wa #RussiaAfricaSummit uliofanyika jijini #SaintPetersburg Urusi. #Africa #Tanzania
    Image
    3.1K
  • user avatar
    GIFT WILLIAM🇹🇿
    @GiftWilliam_
    Jan 29, 2023
    Kuanzia sasa wafanyabiashara wa Tanzania na India hawatalazimika kutumia dola za Marekani kuuza au kuingiza bidhaa. Biashara hizo zitatumia fedha za ndani za Tanzania yaani Shilingi na Rupia ya India, ili kupunguza gharama za ubadilishaji wa fedha na tozo.
    Image
    12K
  • user avatar
    GIFT WILLIAM🇹🇿
    @GiftWilliam_
    Dec 22, 2022
    "Kuna mkuu wa wilaya moja ya Morogoro, alipoulizwa kwanini wilayani kwako kuna watu wengi wanakufa kutokana na mapigano ya wakulima na wafugaji, akajibu ng'ombe wengi wanaoingia ni wa wakubwa nami siwezi kuwagusa, sasa nasema hakuna mkubwa mbele ya sheria" Rais @SuluhuSamial
    Image
    3.9K
  • user avatar
    GIFT WILLIAM🇹🇿
    @GiftWilliam_
    Dec 30, 2022
    Hii @SimbaSCTanzania imezidi sifa sasa. @Ntibazonkiza_ @KapombeShomari @Johnbocco19
    Image
    1.6K
  • user avatar
    GIFT WILLIAM🇹🇿
    @GiftWilliam_
    Dec 6, 2022
    Ndugu wajumbe Ndg Dkt Hussein Mwinyi anastahili kula zote za ndio. Tukampigie.
    Image
  • user avatar
    GIFT WILLIAM🇹🇿
    @GiftWilliam_
    Sep 14, 2022
    Stendi ya Mabasi na Maegesho ya Malori katika eneo la Nyamhongolo Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza iliyozinduliwa jana na Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango. #kaziiendelee #mamayukokazini #sisitumekubali
    Image
  • user avatar
    GIFT WILLIAM🇹🇿
    @GiftWilliam_
    Sep 7, 2022
    RAIS SAMIA ASHUSHA BEI ZA MAFUTA Serikali ya Mhe. Rais Samia Suluhu imeshusha bei ya mafuta ya Diseli, petroli na Mafuta ya Taa kuanzia tarehe 7 Septemba 2022. Bei za mafuta katika soko la ndani zimepungua kati ya shilingi 430/lita kwa mafuta ya taa,
    Image
  • user avatar
    GIFT WILLIAM🇹🇿
    @GiftWilliam_
    Apr 26, 2024
    Replying to @EduTalkTz
    Nchi kama Urusi yenye AI iliyoendelea duniani lakini pale Red square makomandoo huwa wanafanya maonesho ya kijeshi kama haya pia. Tuache kujidharau @EduTalkTz
    6.9K

New to X?

Sign up now to get your own personalized timeline!

Create account

By signing up, you agree to the Terms of Service and Privacy Policy, including Cookie Use.

Terms·Privacy·Cookies·Accessibility·Ads Info·© 2026 X Corp.
Don't miss what's happening
People on X are the first to know.
Log inSign up
Advertisement
Advertisement