Log inSign up
HOVA TIPS
2,504 posts
Image
user avatar
HOVA TIPS
@Hova_Tips
� Hova Tips – Turning knowledge into winnings � � Best odds | � Free tips | � Exclusive promos
Tanzania
Joined July 2022
664
Following
9,394
Followers
  • Pinned
    user avatar
    HOVA TIPS
    @Hova_Tips
    Jan 21
    BET OF THE DAY⚽ODDS1.8 BOOM: 900k✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅ 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 KAMPUNI TUNAYOBETIA PARIPESA🎯 Huna Account Paripesa? Link ya kujisajir👇👇👇 REG:paripesa.bet/kova Promocode 👉👉KOVA APP:paripesa.bet/kovaapp Don't ever miss this 💥💥💯💯
    Image
    Image
    Image
    user avatar
    HOVA TIPS
    @Hova_Tips
    Jan 20
    BET OF THE DAY✅✅✅ FOOTBALL TIPS⚽ On #paripesa Total Odds:2.2 CODE YA MKEKA 👉👉D78CH Huna Account Paripesa? Link ya kujisajir👇👇👇 REG:paripesa.bet/kova Promocode 👉👉KOVA APP:paripesa.bet/kovaapp Don't ever miss this 💥💥💯💯
    520
  • user avatar
    HOVA TIPS
    @Hova_Tips
    Oct 2, 2024
    Ni yeye aliyevamia benk na kuondoka na kitita cha Usd million 18.9 bila ya walinzi wala kamera kumuona Kisha akatokomea huko kusikojulikana na kuwaacha FBI wakiumiza vichwa kwa miaka mitatu bila mafanikio Mwaba akaja kuchomeshwa na uzembe wa rafik yake. Naam! Read more👇
    Image
    226K
  • user avatar
    HOVA TIPS
    @Hova_Tips
    Jan 5, 2025
    Juz nilipost uzi kuhusu time travel watu wengi walisema ni uwongo na hakuna kitu kama icho. oya kwenye hii dunia kuna mamb meng sana ya ajabu Ivi unajua ukiachana na time travel kuna kitu kinaitwa portal Portal ni njia ambayo ukipita unajikuta umetokezea nchi nyingine
    Image
    152K
  • user avatar
    HOVA TIPS
    @Hova_Tips
    Jan 10, 2025
    Sema tukiongeaga tunaonekana wajuaj sana ila naamin ipo siku mtanielewa tu hakuna kitu kinachotokea kwa bahat mbaya hasa kwa nchi kama Marekan Kila jambo huwa wanalipanga kwa manufaa yao Moto unazid kuliteketeza jiji la Los Angels wewe umekaa na kuamin kuwa ni ajali ya moto
    Image
    94K
  • user avatar
    HOVA TIPS
    @Hova_Tips
    Jan 2, 2025
    Ukiangalia muvi ya Titanic kuna kitu ambacho hatujawah kukigundua lakin mwandsh na muigizaj James Cameron Aliamua kuweka ujumbe kuhusu Time Travel huyu jamaa ni mwana-sayans kwahiyo anafaham mamb meng sana Halafu wakiyafikisha kwetu wanatuambia theories why?
    Image
    123K
  • user avatar
    HOVA TIPS
    @Hova_Tips
    Jan 2, 2025
    Hiki kitu nimekizungumzia leo fanya kupita pinned post apo ukasome huu uzi
    Image
    82K
  • user avatar
    HOVA TIPS
    @Hova_Tips
    Oct 2, 2024
    Replying to @Hova_Tips
    Channe hiki ndicho kilimuumiz sana kichwa mastermind kwani safe ya kuwekea hela ilikuwa na password Na anayeijua ni boss tu na mda wa kufanya tukio boss hatokuwepo Please Like & repost nidondoshe part II
    Image
    20K
  • user avatar
    HOVA TIPS
    @Hova_Tips
    Jan 11, 2025
    Nan anaweza kuniambia uhusiano wa Marekan na hiz pyramid mpaka wakaamua kuziweka kwenye not zao
    Image
    23K
  • user avatar
    HOVA TIPS
    @Hova_Tips
    Jan 9, 2025
    Kila kitu kilichofanyka pale New York ni mipango ilipangwa na ikasimamiwa mpaka itokee ndoman hata wenyewe hawashangai
    Image
    8.6K
  • user avatar
    HOVA TIPS
    @Hova_Tips
    Oct 2, 2024
    Replying to @Hova_Tips
    Ilikuwa siku ya ijumaa September 12 mwaka 1997 majira ya saa 3 usiku watu sita walivamia benk iliyofahamika kwa jina la Dunbar iliyopo marekan Los Angeles Na kufanikiwa kuondoka na kitita cha Usd million 18.9 bila ya kuacha ushahid wowote Hakika ni akili kubwa sna ilitumikana
    Image
    25K
  • user avatar
    HOVA TIPS
    @Hova_Tips
    Oct 2, 2024
    Replying to @Hova_Tips
    Na alikuwa akilipwa mshahara wa kawaida ambao uliweza kumpatia mahitaji yake ya kila siku Alifanya kaz kwa mda mref mpaka kampun ikamuamin na kuamua kumpandish cheo Na kuwa mkaguz mkuu wa usalama katika jij la Carfolnia kuhakikisha pesa zote zinasafirishwa kwa usalama
    Image
    23K
  • user avatar
    HOVA TIPS
    @Hova_Tips
    Oct 2, 2024
    Replying to @Hova_Tips
    Huwez amini ni akili ya mtu mmoja tu ndo iliyotumika kuchora mchoro wa tukio zima na mtu huyo aliitwa Allen pace III Uku akishirikian na wenzake watano ila yeye ndo alikuwa mastermind wa mchongo wote Allen pace yeye alikuwa akifanya kaz Dunbar kama mfanyakaz wa kawaida tu
    24K
  • user avatar
    HOVA TIPS
    @Hova_Tips
    Oct 2, 2024
    Replying to @Hova_Tips
    Allen kila siku alikuwa akishuhudia pesa nyingi zikipita mbele ya macho yake ila ni pesa za watu na kuishia tu kuzitazama kwa macho Hapa sasa ndipo likazaliwa wazo la kwanini asipige tukio akachukua kibunda na kutokomea pasipojulikana Hili wazo aliishi nalo kwa mda mrefu sana
    21K
  • user avatar
    HOVA TIPS
    @Hova_Tips
    Oct 2, 2024
    Replying to @Hova_Tips
    Ila mpaka kufika mwaka 1996 hapo shetan aliweza kumvaa vyema na kuanza kulifanyia kaz wazo lake Na katika kupanga mipango yake ni jambo moja tu ndo lilikuwa likimuumiz kichwa Ni atawezaje kuvuka ulinz mkali uliokuwa kwenye benk hiyo Mwamba akaumiza sana kichwa bila ya majibu
    Image
    21K

New to X?

Sign up now to get your own personalized timeline!

Create account

By signing up, you agree to the Terms of Service and Privacy Policy, including Cookie Use.

Terms·Privacy·Cookies·Accessibility·Ads Info·© 2026 X Corp.
Don't miss what's happening
People on X are the first to know.
Log inSign up
Advertisement
Advertisement