Hüñtêr KĒ
44.3K posts
CHELSEA FAN
-Photograper-
Eldoret, Kenya
Born August 24
Joined June 2024
- SEEN : nahitaji watu watatu hawajalipa rent tukuwe wanne
- Mimi naye kwa kuchagua nguo za mtumba huwezi nitoa
- Kule Eastleigh unapatanga your dream phone ndio simu ya Mpesa
- Simps ndio wamefanya madem hawana heshima kabisa huku nje
- Nairobi utapata mtu anauza tropical pekee pale archives lakini anaishi 2 bedroom Westlands
- Huyu tuko talking stage na yeye na naona ameweka status ya "Birthday loading" anyway it was nice knowing her😂
- Bado nashindwa kuelewa why "letter W start with D?
- Please Chelsea, avoid playing with 10 men today
- Kamummie ulisema Kila weekend utakuwa unaamkia nyumba mpya kama panya
- Wife material ni ule Kila mtu anakuuliza "Huyu ulimpendea nini"
- Msichana akianza kukataa kukukiss jua hiyo relationship yenu Iko ICU 🥺
- Good Morning Friends of Hüñtér KĒ

