Log inSign up
Jamii Forums
74.6K posts
Image
user avatar
Jamii Forums
@JamiiForums
Inform | Engage | Empower | Digital Democracy
United States
t.me/JamiiForums
Born May 9
Joined June 2009
215
Following
1.8M
Followers
  • Pinned
    user avatar
    Jamii Forums
    @JamiiForums
    Dec 12, 2025
    Statement on the Continued Blocking of JamiiForums.com in Tanzania. #JamiiForums
    Image
    Image
    74K
  • user avatar
    Jamii Forums
    @JamiiForums
    Sep 9, 2021
    Jishindie hadi Sh. Milioni 5 kwa kuandika andiko linalochochea Mabadiliko Nyanja: Demokrasia, Haki za Binadamu, Utawala Bora, Afya, Uwajibikaji, Biashara, Teknolojia, Mahusiano nk Shindano litaisha Sept 30, 2021 Soma jamii.app/Shindano1 #StoriesOfChange #CitizenJournalism
    Image
  • user avatar
    Jamii Forums
    @JamiiForums
    Sep 9, 2022
    PROFESA ASSAD: #Tozo zina hasara kubwa kuliko faida kwa Serikali > Viongozi wanaotumia magari ya Serikali yenye gharama kubwa kwa shughuli za kiofisini na binafsi ndio wanatakiwa kulipa kodi kwa kuwa wanapata faida ambazo si za kifedha Soma jamii.app/MaoniYaTozo #JFSiasa
    Image
  • user avatar
    Jamii Forums
    @JamiiForums
    May 6, 2024
    Ni huduma gani kati ya hizi ipatikane bure au kwa gharama nafuu zaidi?
    A. Intaneti20%
    B. Matibabu67%
    C. Elimu (Msingi-Chuo)13%
    21,295 votesFinal results
    635K
  • user avatar
    Jamii Forums
    @JamiiForums
    Oct 15, 2020
    UPDATE: Kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kumuuliza maswali Lissu; imebidi apate muda kuyapitia maswali yote (takriban 1,000) > Tunatarajia kufikia kesho atakuwa ameyapitia maswali hayo na yote yatajibiwa > Shukrani kwa wote walioshiriki
    Image
  • user avatar
    Jamii Forums
    @JamiiForums
    Jun 28, 2023
    MBEYA: Mawakili Emmanuel K. Changula, Alphonce Lusako, Raphael J. Ngonde na Frank J. Nyalusi wameishtaki Serikali juu ya Makubaliano yake na Serikali ya Dubai kuhusu uendelezaji wa Bandari, kwa maelezo kuwa hayazingatii maslahi ya Nchi Waziri wa Ujenzi na Katibu Mkuu
    Image
    246K
  • user avatar
    Jamii Forums
    @JamiiForums
    Jun 10, 2023
    TANZIA: MMILIKI WA PRECISION AIR AFARIKI DUNIA Mmiliki wa Shirika la Ndege Nchini #Tanzania la #PrecisionAir, Michael Ngaleku Shirima, ameaga dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya #AgaKhan, Jijini Dar es Salaam Soma jamii.app/RIPShirima #JamiiForums
    Image
    128K
  • user avatar
    Jamii Forums
    @JamiiForums
    Aug 31, 2024
    DAR: Mtangazaji wa Mdahalo uliopangwa kuwahusisha Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa, Edwin Odemba kutoka StarTV, amesema Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi hajatokea katika Mdahalo huo, hali ambayo imesababisha washiriki wenzake wa vyama vingine nao
    Image
    227K
  • user avatar
    Jamii Forums
    @JamiiForums
    Aug 18, 2023
    BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI LATOA TAMKO LA KUTOUNGA MKONO MKATABA WA BANDARI Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (#TEC), Padri Charles Kitima, amesema wamebaini ni muhimu kusimama upande wa Wananchi ambao wengi hawajaridhishwa na vifungu mbalimbali Soma
    Image
    417K
  • user avatar
    Jamii Forums
    @JamiiForums
    Sep 9, 2024
    HAKI ZA BINADAMU: Uongozi wa Kampuni ya Mabasi ya Tashriff umesema tukio la kutekwa kwa aliyekuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA, Ali Kibao ndani ya basi lao liliwashtua na walishindwa kuzuia kutokana na wahusika kuwa na silaha za moto na waliwatisha wafanyakazi waliokuwa
    Image
    195K
  • user avatar
    Jamii Forums
    @JamiiForums
    Jun 9, 2020
    BAD NEWS: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB), Freeman Mbowe ameshambuliwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana wakati akirejea nyumbani kwake jijijini Dodoma Zaidi, fuatilia > jamii.app/MboweAttack
    Image
  • user avatar
    Jamii Forums
    @JamiiForums
    Jul 23, 2021
    MAREKANI: KAMATI YA BUNGE YAITAKA TANZANIA KUTOKANDAMIZA UPINZANI M/Kiti wa Kamati ya Mambo ya nje, Kareen Bass amesema kuapishwa kwa Rais Samia kulileta tumaini la Uelekeo mpya wa #Demokrasia lakini matukio ya hivi karibuni yamefuta matumaini hayo Soma jamii.app/USArrestMbowe
    Image
  • user avatar
    Jamii Forums
    @JamiiForums
    Jun 3, 2023
    KENYA: RUTO ATOA WITO AFRIKA KUTOTUMIA DOLA KATIKA MIKATABA YA KIBIASHARA Rais wa #Kenya, #WilliamRuto ametoa ushauri huo kwa viongozi wa Afrika akisema ni muda wa kuanza kuchukua hatua ya kuachana na malipo ya fedha kwa kutumia Dola ya Marekani badala yake kuwepo na mfumo wa
    Image
    176K
  • user avatar
    Jamii Forums
    @JamiiForums
    Jul 7, 2021
    TAHADHARI, #COVID19 WIMBI LA 3 IPO Dk. Derick Nyasebwa @DerickNyasebwa (Founder & CEO wa Hospitali za Uhuru na Tanzanite) anakusihi kuchukua hatua zote kujilinda dhidi ya maambukizi ILANI: Zingatia ushauri wa wataalamu wa Afya, kirusi cha sasa ni tofauti na vya awali #UVIKO3
    Image
    00:00

New to X?

Sign up now to get your own personalized timeline!

Create account

By signing up, you agree to the Terms of Service and Privacy Policy, including Cookie Use.

Terms·Privacy·Cookies·Accessibility·Ads Info·© 2026 X Corp.
Don't miss what's happening
People on X are the first to know.
Log inSign up
Advertisement
Advertisement