Log inSign up
Fey Lastborn🌹
39.7K posts
Image
user avatar
Fey Lastborn🌹
@LastbornFey22
Polite nice and caring for everyone .🌹!! Simba sporty club. !! I am proud Romani Catholic.🙏
Tanzania
Joined October 2024
1,117
Following
1,512
Followers
  • Pinned
    user avatar
    Fey Lastborn🌹
    @LastbornFey22
    Jan 1
    Hatuna mema ya kudumu kwenye maisha ya watu,fanya kwa kiasi ipo sku watasahau.🌹
    151
  • user avatar
    Fey Lastborn🌹
    @LastbornFey22
    Jul 10, 2025
    Tulihitaji sana faraja zao lakini walikimbizwa na shida zetu,usimkatie tamaa mtu ukajutia kumpoteza shida hazidumu.🌹
    17K
  • user avatar
    Fey Lastborn🌹
    @LastbornFey22
    Apr 15, 2025
    Mungu naomba unikutanishe na watu waliobeba majibu ya maombi yangu.🙏
    7.4K
  • user avatar
    Fey Lastborn🌹
    @LastbornFey22
    Feb 1, 2025
    Ukipata nafasi ya kumsamehe mtu we msamehe tu hatakama hamtokuwa kama zamani kifo akipigi hodi.🌹
    7.3K
  • user avatar
    Fey Lastborn🌹
    @LastbornFey22
    Mar 13, 2025
    Imagine anakuambia tukae tuyamalize siko tiari kukupoteza.🌹
    9.1K
  • user avatar
    Fey Lastborn🌹
    @LastbornFey22
    Mar 28, 2025
    Safari ya mtafutaji inahitaji msindikizaji asiekuwa na tamaa.🌹
    4.6K
  • user avatar
    Fey Lastborn🌹
    @LastbornFey22
    May 13, 2025
    Ukimpata Mtu anakupenda, Anakuheshimu,Anakuthamini anakupa na mda wake na anakujali,Mwenye hofu ya mwenyezi Mungu, Usimuache mlinde kwa wivu mkubwa.
    5K
  • user avatar
    Fey Lastborn🌹
    @LastbornFey22
    Mar 27, 2025
    Mahusiano ili yadumu yanahitaji watu wawili mmoja awe mwaminifu na wapili asiekata tamaa aya machaguo ni yako.🌹
    7.9K
  • user avatar
    Fey Lastborn🌹
    @LastbornFey22
    Apr 17, 2025
    Wakati mwingine unaweza sema upo sawa ila machoni mwa watu wanatamani kukuambia haupo sawa ukipata nafas ya kumfuta mtu machozi fanya tu.🌹
    3.9K
  • user avatar
    Fey Lastborn🌹
    @LastbornFey22
    May 10, 2025
    Usitoe ahadi ya kumsaidia,Mtu na ukashindwa ni bora kusema swezi, Kuliko Kutoa tumaini kwa mtu anahitaji tumaini.🌹
    4.4K
  • user avatar
    Fey Lastborn🌹
    @LastbornFey22
    Apr 26, 2025
    Ukiwalilia shida wanakutangaza ukiamua kupambana mwenyewe wanakuwekea vikwazo ukiwatafuta wana kukwepa dunia haina huruma na alie kata tamaa we kama unakata tamaa kata size yako.📌
    4K
  • user avatar
    Fey Lastborn🌹
    @LastbornFey22
    Apr 1, 2025
    Tunakubaliana na young killer kwamba umaskini ndo unao tufanya tuone tunapendwa tukipewa pesa soma kama unaimba sjui utaimbaje.😂😂🌹
    3.5K
  • user avatar
    Fey Lastborn🌹
    @LastbornFey22
    May 7, 2025
    Huzuni ikizidi furaha inakaribia,Furaha ikizidi huzuni inakaribia,Mikono utakayotumia kufuta machozi pia utatumia kushukuru.🙏🌹
    4.1K
  • user avatar
    Fey Lastborn🌹
    @LastbornFey22
    May 8, 2025
    Nilichotaka nimekipata lakini nilie mtaka nimemkosa.✍️🌹
    4.3K

New to X?

Sign up now to get your own personalized timeline!

Create account

By signing up, you agree to the Terms of Service and Privacy Policy, including Cookie Use.

Terms·Privacy·Cookies·Accessibility·Ads Info·© 2026 X Corp.
Don't miss what's happening
People on X are the first to know.
Log inSign up
Advertisement
Advertisement