Log inSign up
LE™️
54.7K posts
Image
user avatar
LE™️
@LensationEnts
FILM, PHOTOGRAPHY, DOCUMENTARIES, TV COMMERCIAL, CORPORATE EVENTS AND CAPTIVATING CONTENTS. WE ARE GLOBE TROTTER. JUST DM FOR INQUIRIES!
Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2013
0
Following
4,519
Followers
  • Pinned
    user avatar
    LE™️
    @LensationEnts
    Aug 19, 2024
    We are LensationEnts, A multicultural Photography/video/film Company based in East and Southern Africa. Our customers range from individuals, group of people, small to large Companies.
    6.5K
  • user avatar
    LE™️
    @LensationEnts
    May 11, 2021
    Crdb kuanzia leo natoa pesa zangu zote kwenu takataka kabisa nyie FUUUCK!
  • user avatar
    LE™️
    @LensationEnts
    Mar 5, 2022
    Dini ziache kudanganya watu kwamba there is life after death. There is no such thing. Ukifa means it's over. Ishi mzee hakuna maisha after 6 feet tofauti na kuoza na kutengeneza fossils.
  • user avatar
    LE™️
    @LensationEnts
    Apr 7, 2020
    Aisee jirani zangu familia nzima wana Corona. Nimeogopa mpakaaa kutoka nje
  • user avatar
    LE™️
    @LensationEnts
    Apr 24, 2020
    Najisikia kuanzisha photography challenge mshindi anachukua Camera canon eos 4000D complete kwenye Bag mpyaaa
  • user avatar
    LE™️
    @LensationEnts
    Mar 2, 2022
    Deal za kuinfluence sio za kila mtu. Sometimes usiforce vitu. Kipo kitu kilikusukuma kujiunga TL. Mfano mimi, mimi napenda vitu vyangu haswa, TL nimekuja kuvimba. I love kuvimba. Mfano hapa natweet na simu kali sana.
  • user avatar
    LE™️
    @LensationEnts
    May 17, 2021
    Natafuta vijana wa5 videographer/cinematographer tufungue kampuni. Nitaweka Fund na equipments, nitawapiga msasa kwa kuwapa professional trainer from the first world countries wajifue zaidi kuhusu tasnia husika. Kabla hujanifata DM please make sure una what it take to convince me
  • user avatar
    LE™️
    @LensationEnts
    Oct 26, 2022
    Fuck Death! Jana nilikua na mwanangu wa kitambo sana(RIP) tulikua tumepanga tukutane watoto wajuane sababu kitambo sana. Piga msosi cheka sana, kumbushia maisha yale tuko majanki daaah kumbe mwana ndio ilikua anaaga bana😭😭😭😭 aisee life ni usenge sana
  • user avatar
    LE™️
    @LensationEnts
    Oct 18, 2022
    Huwezi kutoboa peke yako Kamwe. Lazima uende na watu. Either ushike mkono au ushikwe mkono PERIOD!
  • user avatar
    LE™️
    @LensationEnts
    Feb 17, 2023
    Kuna siku nilikua upande wa kusini wa switzerland(holiday place) sasa kwenye misele nikaona Show room ya Harley Davidson nikasema niingie sababu niliona kuna adventure bike yao ndio imetoka(Pan America) na binafsi ilinivutia nikasogea ndani kuipimia. Sasa nikagundua..
    81K
  • user avatar
    LE™️
    @LensationEnts
    Aug 11, 2022
    Mimi ndio mtu mweusi ambae naitwa Sir na watu weupe napata executive treatment kwenye bank maarufu hapa uswiss na wamenikariri. Kila nikifika naambiwa “This way Sir” 🥰🥰
  • user avatar
    LE™️
    @LensationEnts
    May 27, 2023
    Jifunzeni kutochagua sides. Vita isiyo kuhusu shut the fuck up angalia. Usivae gloves kwenye ndondi za watu professional kisa anaepigana ni mwanao. Kumbuka una reputation to keep. Hii ni social media ukiitwa msenge wewe itabaki hivyo milele kwenye hii mitandao. Think twice.
    40K
  • user avatar
    LE™️
    @LensationEnts
    Nov 22, 2020
    Nauza iPhone 11 Pro Max 256GB nimeitumia muda maybe 3 months au 5 maximum nataka 1,000,000 CASH. First come first save. Thanks. Ningeihonga sema sasa babe nimemnunulia 12 pro max with customised Original leather case. Karibuni
    Image
    Image
    Image
  • user avatar
    LE™️
    @LensationEnts
    Jul 23, 2023
    Magufuli was the man for the Job. Hatakuja wa vile maisha. Kama wale wanatokea mara chache sana. Apumzike kwa amani aisee.
    19K

New to X?

Sign up now to get your own personalized timeline!

Create account

By signing up, you agree to the Terms of Service and Privacy Policy, including Cookie Use.

Terms·Privacy·Cookies·Accessibility·Ads Info·© 2026 X Corp.
Don't miss what's happening
People on X are the first to know.
Log inSign up
Advertisement
Advertisement