Pinned
βΌοΈπ¨HALI MBAYA SANA NI MWENDO WA KUWINDANAπ¨βΌοΈ
Oktoba 2025 imeacha makovu hadi ndani ya mfumo wa ulinzi na usalama! Maumivu ni makali sana!
Kuna incident baadhi yetu tulisikia ilitokea ila leo ndo kuna details zaidi! Kuna mtu alitaka kupata revenge ya ndugu yake! Sasa najiuliza



















