Age-restricted adult content. This content might not be appropriate for people under 18 years old. To view this media, youโll need to log in to X. Learn more
"Bado sinywi pombe kama ulivyoniacha shuga../
Huwa naswali ila sifungi mawazo yamenipa ulcers../
Wananicheka ujinga 'coz nakuongelea wewe tu../
Nikiongelea mapenzi mfano wangu wakwanza ni wewe boo../
Sema mheshimiwa @MwanaFA anakuwa deep sana kwenye mapenzi. Hii ni hazina๐
HONGERENI JamiiForums kwa kuanzisha โJamiiCheckโโฆ leo mtu akilishwa matango pori mtandaoni akaaruka nayo, kaamua mwenyewe, kwani mmewapa watumia mtandao fursa ya kucheck usahihi wa habari/taarifa!๐๐พ๐๐พ๐๐พ๐๐พ๐ช๐ฝ๐ช๐ฝ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
Uandishi na style ya @MwanaFA uko juu Miaka Yote kwenye tasnia ya muziki Bongo! Sijawahi boreka kumsikiliza! Wakati mwingine nilitamani asishirikishe mtu ataharibu wimbo ๐๐
Heshima ๐๐ฟ๐ฏ