Log inSign up
Maalim Nash
4,184 posts
Image
user avatar
Maalim Nash
@Nashemcee
Maalim Nash. Hip Hop Emcee Representing πŸ‡ΉπŸ‡Ώ. Home of Swahili.
Joined August 2012
384
Following
39.2K
Followers
  • user avatar
    Maalim Nash
    @Nashemcee
    Sep 21, 2024
    Mimi ni Mwanachama wa Yanga na siyo Msanii wa Matamasha ya Yanga.
    Image
    37K
  • user avatar
    Maalim Nash
    @Nashemcee
    Jul 19, 2022
    Daraja La Malkia.
    Image
  • user avatar
    Maalim Nash
    @Nashemcee
    Nov 17, 2023
    Alhamdulillah nilifika London Jana na nipo hapa kwa mualiko kutoka Chuo kikuu cha Soas,Idara ya Masomo ya kiafrika. Nitawasilisha mada kuhusu "MCHANGO WA FASIHI KATIKA HIP HOP" kwenye Kongamano la Baraza la Kiswahili kesho In Shaa Allah. Taarifa zaidi zitawajia.
    Image
    154K
  • user avatar
    Maalim Nash
    @Nashemcee
    Jul 17, 2022
    Rasmi nimefika katika Hijja ya Hip Hop jijini New York mitaa ya Bronx. Taarifa zaidi zitafuata.
    Image
  • user avatar
    Maalim Nash
    @Nashemcee
    Sep 11, 2022
    Sikilizeni ndugu zangu,Kuvaa Tai au Skafu yenye Rangi ya Bendera yetu siyo kipimo cha uzalendo,tuelewane hapo.
    Image
  • user avatar
    Maalim Nash
    @Nashemcee
    Jul 21, 2023
    Ijumaa yenye Baraka sana kukutana na Professor Assad katika sala ya Jumaa pale Masjid Imam Jabir Bin Zaid , alikuwa anamaliza kusali sunnah nikamsubiri nikajitambulisha akauliza, unapiga Hip Hop ya ipi? Yenye Ujumbe mwingi au ya siku hizi? nikamwambia Napiga Yenye Ujumbe mwingi
    Image
    74K
  • user avatar
    Maalim Nash
    @Nashemcee
    Jan 26, 2024
    We Zombie
    Image
    94K
  • user avatar
    Maalim Nash
    @Nashemcee
    Dec 22, 2024
    Asante Mama kwa Mananasi bila wewe Sukari nisingeipata humu.
    Image
    49K
  • user avatar
    Maalim Nash
    @Nashemcee
    Sep 7, 2023
    Taifa Stars bila hamasa Taifa Stars isiyo ya Wachambuzi Taifa Stars iliyotelekezwa Taifa Stars ya Hip Hop Taifa Stars isiyoenda na Vikosi vya Wajuaji Taifa Stars isiyo haidiwa hela Taifa Stars iliyopangwa na kuchaguliwa na kocha. Huwa inaenda vizuri kabisa.
    52K
  • user avatar
    Maalim Nash
    @Nashemcee
    Jun 14, 2024
    Kuna mstari mwembamba sana unaogawanyisha Ushoga na Uchawa.
    Image
    49K
  • user avatar
    Maalim Nash
    @Nashemcee
    Jul 3, 2024
    Othman Mutalemwa Mushumbusi. Mhaya namba 5 ameongeza namba ya watoto wangu. Alhamdulilah
    Image
    39K
  • user avatar
    Maalim Nash
    @Nashemcee
    Nov 27, 2024
    Kampeni za Kistaarabu zilifanywa na Chaumma tu.
    Image
    48K
  • user avatar
    Maalim Nash
    @Nashemcee
    Sep 12, 2024
    TAARIFA. Jana katika Darasa la Hip Hop na Diplomasia katika Chuo Kikuu cha North Carolina U.S.A chini Professor Mark Katz, ambaye ni mkuu wa Idara ya Muziki chuoni hapo,walitumia wimbo Wangu wa "NIANZIE WAPI" Kujifunza na kuibua mjadala juu ya Siasa na Jamii.
    Image
    00:00
    47K
  • user avatar
    Maalim Nash
    @Nashemcee
    Jun 13, 2024
    Rafiki wa kweli,daima upo katika kumbukumbu zetu. 13.06.2013
    Image
    45K

New to X?

Sign up now to get your own personalized timeline!

Create account

By signing up, you agree to the Terms of Service and Privacy Policy, including Cookie Use.

TermsΒ·PrivacyΒ·CookiesΒ·AccessibilityΒ·Ads InfoΒ·Β© 2026 X Corp.
Don't miss what's happening
People on X are the first to know.
Log inSign up
Advertisement
Advertisement