Log inSign up
Peter Madeleka
14.3K posts
user avatar
Peter Madeleka
@PMadeleka
Chief Legal Counsel at Stalwart Law Chambers
Tabora, Tanzania
Joined April 2021
5,971
Following
143.9K
Followers
  • user avatar
    Peter Madeleka
    @PMadeleka
    Oct 27, 2025
    😂😂😂
    Image
    00:00
    306K
  • user avatar
    Peter Madeleka
    @PMadeleka
    Jun 28, 2024
    Ninao UWEZO wa kutumia SHERIA ili MAHAKAMA IWAJUE na KUWAWAJIBISHA wote WALIOMTEKA na KUMTESA ndugu SATIVA. Tukikaa MTAANI watesaji hao HAWAWEZI KUJULIKANA, lakini TUKIENDA MAHAKAMANI, wote MTAWAJUA. Tushirikiane kutafuta HAKI ya SATIVA.
    Image
    188K
  • user avatar
    Peter Madeleka
    @PMadeleka
    Jan 22, 2025
    HONGERA SANA kaka yangu ⁦@godbless_lema⁩ kwa KAZI KUBWA na NZURI uliyoifanya. Pokea 🌷💐🌹 tafadhali.
    Image
    69K
  • user avatar
    Peter Madeleka
    @PMadeleka
    Dec 23, 2024
    Mimi PETER MADELEKA, NATANGAZA RASMI, kwa wale ambao HAMJUI MSIMAMO WANGU, kwamba; NINAMUUNGA MKONO “SIMBA” TUNDU LISSU ⁦@Lissu_2025⁩ kwa kuwa ANAFAA KUWA, SI TU, MWENYEKITI WA CHADEMA, BALI, RAIS WA TANZANIA. Sifa zote ANAZO.
    Image
    106K
  • user avatar
    Peter Madeleka
    @PMadeleka
    Aug 31, 2024
    Nyie MLIOTUMWA, sikilizeni. Hizo FEDHA kiasi cha TZS 30 MILIONI ambazo MMETUMWA MNIHONGE ili “MUME WA AFANDE” ASITAJWE MAHAKAMANI, sina SHIDA nazo. Mashahidi wetu WATAMTAJA. Halafu mimi nitakwenda DODOMA kwa “BUKU BUKU” zitakazochangwa na WAPENDA HAKI.
    Image
    169K
  • user avatar
    Peter Madeleka
    @PMadeleka
    Oct 10, 2024
    Kwa kweli, HAKI INALIPA. Asante MUNGU🙏🙏
    Image
    168K
  • user avatar
    Peter Madeleka
    @PMadeleka
    Aug 1, 2024
    Nikiwa na TUZO yangu ya Wakili BORA wa Mwaka 2023-2024 ALIYEIHUDUMIA JAMII (Community Service Award) leo tarehe 1 Agosti 2024 mjini DODOMA.
    Image
    101K
  • user avatar
    Peter Madeleka
    @PMadeleka
    Aug 2, 2024
    HAKI IMESHINDA 🙏🙏
    Image
    77K
  • user avatar
    Peter Madeleka
    @PMadeleka
    Jan 22, 2025
    JENERALI Tundu Lissu ndiye KIONGOZI wa VITA YA MABADILIKO.
    Image
    92K
  • user avatar
    Peter Madeleka
    @PMadeleka
    Aug 18, 2024
    Ndugu zangu WATANZANIA, nimelazimika KUAMKA USIKU HUU WA SAA SABA, baada ya kuona huo MZAHA hapo 👇. Natoa WITO kwa kila MPENDA HAKI kujitoa iwezekanavyo ili HAKI ya BINTI WA YOMBO ipatikane. Mimi NIPO TAYARI, NIWEZESHENI.
    Image
    196K
  • user avatar
    Peter Madeleka
    @PMadeleka
    Aug 12, 2024
    Ikiwa WATANZANIA na WAPENDA HAKI wataridhia, nipo TAYARI, kuchukua WAJIBU wa KULISHITAKI Jeshi la Polisi kwenye MAHAKAMA YA KIMATAIFA, kwa KUVUNJA HAKI ZA WANACHAMA WA CHADEMA, kinyume cha MIKATABA YA KIMATAIFA kuhusu HAKI ZA KISIASA. TUACHE KULIALIA. Twendeni KIMATAIFA.
    Image
    143K
  • user avatar
    Peter Madeleka
    @PMadeleka
    Dec 21, 2024
    Licha ya kutoa MCHANGO MKUBWA SANA katika MAENDELEO ya SIASA ZA MAGEUZI katika Kanda ya KASKAZINI, wewe GODBLESS JONATHAN LEMA, uliamua KUTOGOMBEA TENA nafasi ya UENYEKITI WA KANDA. Hongera sana kwa KUAMINI kuwa, “NA WENGINE WANAWEZA”. Chukua 🌷💐🌷 yako ⁦@godbless_lema⁩
    Image
    73K
  • user avatar
    Peter Madeleka
    @PMadeleka
    Aug 27, 2024
    Shirika la Kimataifa la Kulinda Wapigania Haki (DEFENDDEFENDERS) lenye Makao yake Makuu mjini GENEVA, USWISI, limemtaja WAKILI PETER MADELEKA kuwa MPIGANIA HAKI BORA NCHINI TANZANIA kwa MWEZI JULAI 2024.
    Image
    88K
  • user avatar
    Peter Madeleka
    @PMadeleka
    Aug 3, 2024
    Jamani, HAKI IKISHINDA huwa ni RAHA SANA😂😂
    Image
    170K

New to X?

Sign up now to get your own personalized timeline!

Create account

By signing up, you agree to the Terms of Service and Privacy Policy, including Cookie Use.

Terms·Privacy·Cookies·Accessibility·Ads Info·© 2026 X Corp.
Don't miss what's happening
People on X are the first to know.
Log inSign up
Advertisement
Advertisement