Pinned
Latto π
102.8K posts
What's Trending? || Dm π© for Promo.
Tanzania
Joined September 2020
- Appreciation post to Mange Kimambi. She said that, She will not Stop! Mpaka wamkamate! This Movement has become a part of her life and Ours! Thank you sis, for standing with us, regardless how hard its!
- Sikiliza maneno ya Tundu Lissu akiwa Mahakamani hii leo. Video kwa Comments π
- Juzi, kulikuwa na Ndoa, ambapo Rais wa ZANZIBAR DR. HASSAN MWINYI Alimuozesha Binti yake kipenzi JAMILA MWINYI Harusi hiyo ilihudhuriwa na watu 2000+ akiwemo Rais wa Tanzania na kadhalika.. Angalia picha zingine za Harusi... Picha kwa CommentsππΎ
- Mnamkumbuka Huyu Mzee, Yule Mzee aliyekuwa anauza Samaki ambapo kijana alimuomba mzee akampa bureee! Walijitokeza watu wakamchangia mpaka million 9 ya kumjengea Nyumba. Angalia ilivyokuwa na nyumba aliyojengewa Ayo Tv ilienda mpaka Songwe kumtafutaπββοΈ Video kwa Comments π
- Wasafi wakizungumzia Juu ya kutekwa na SATIVA!! na UHURU WA MITANDAO! Especially π Wasikilize mwenyewe.... Video kwa CommentsππΎ
- Wanachuo wanaosoma Chuo cha USIU -Africa Chuo cha kimataifa kilichopo nchini Kenya π°πͺ, Jana walikuwa na Culture Day, Ambapo wanafunzi wanaotoka Tanzania πΉπΏ, walivaa vijora na kucheza Baikoko kuonyesha utamaduni wa Tanzania ππππββοΈ Video kwa Comments π
- Tanzania Imekuwa kama US? mwamba kashika Bastola anamtishia mtu, Kwa sababu ana Cheo.. Oyaaa πββοΈπββοΈπββοΈ Wasikilize wazee wa Minyama... Video kwa Commentsπ
- Mtandaoni Leo πββοΈπββοΈ Inamaanisha kuna watu hawajatekeleza majukumu yao... Video kwa Commentsπ
- Hii ni Funzo kwa wanaotukana watu Mitandaoni na kwenye Medias.. Video kwa commentsππΎππΎππΎ
- Watu walikuwa wanauliza.. Kwanini MAFUTA YA TAA.. Yanawekwa kwenye CHAKULA, Walivyokuwa wanasoma SHULE ZA BWENI? Angalia Hii video, then UTAPATA JIBU ππππππππ Video kwa CommentsππΎ
- Siskiliza uwezo wa Rayvanny wa Ku-remix, nyimbo live... Mwamba anaenda na Flow tu.. Yani ni Freestyle.... Video kwa Comments π
- Master J, Leo alifanyiwa interview, Kuhusu yaliyotokea Kenya π°πͺ, Juzi. Na haya ndio majibu yake... Msikilizeee.... Video kwa Commentsπ
- TID anazidi kupaa na Interview yake ππππππ Sasa leo katika pitapita zangu nimeona Netflix wameenda nayo!!! Screenshot kwa commentsππΎππΎ















