DON⚡
45.3K posts
- Mtu anatoa aje mjulus Kwa crack ya ukuta guys. Asking for a friend.
- Nyinyi ndio mnaamka na Mimi ndio nataka sasa kulala.hatufanani,hatutoshani.
- Naingia offline kidogo kurudi napata siah every where. Hi app nae is too fast.
- Hiyo squid game nayo inabamba mafala.
- Usifikirie wewe ni mjanja juu sasa unavuta bangi.
- Shawry hutoka mbali ndio anione, Kimberly...🎶🎶 Toxic nae ni mzii.
- Messi is playing today and the whole world is happy.
- Elon wachana na x kama imekushinda tafadhali.
- Tunajua "ndio fore man anawaachilia", uki tweet usianze na hii.
- "Niko na ruhusa ya kukuua..." Wtf 😔
- Standard group (ktn) ndio sasa wanaelewa. Bigup
- Gyokeres akifika tupewe Tu hiyo ligi Sahi.



