Wanafunzi wa sekondar wanapata wapi ujasiri wa kujirekodi video za utupu?
Hawafikirii maisha yao ya badae, hawajui kama wanawaumiza wazazi wao pia.
Inaumiza sana kwakweli.
Nilienda Makete kwa ndugu zangu, watu wanameza ARV hawajifichi kabisa mfano ukiwa msibani kuna muda wanakumbushana kunywa na dawa hawazifichi. Hii sio fiksi.
Habari Tanzania 🇹🇿 neno langu la asubuhi hii, natamani Ubunge nao uwe na kikomo cha awamu mbili kama ilivyo Urais, tunahitaji kupata mawazo mapya ili kuleta chachu ya maendeleo.
Nimekutana na Chikumbalaga kijijini msibani hali yake ya kiafya inaonyesha sio nzuri, mchafu sana na mikono yake inatetemeka sana.
Mwenyezi Mungu amsaidie.