Log inSign up
Fortunatus Buyobe
32.5K posts
Image
user avatar
Fortunatus Buyobe
@fbuyobe
Pool of thoughts. A commander of the hand to mouth battalion. Environmental Pioneer. Social Engineer. #CertifiedMchapaUzi . Telegram: t.me/fbuyobe
Dar es Salaam, Tanzania
Joined September 2021
1,024
Following
143.8K
Followers
  • Pinned
    user avatar
    Fortunatus Buyobe
    @fbuyobe
    Jan 14, 2022
    Uzi huu ni List ya nyuzi zangu zote nilizoandika, ninazoandika na nitakazoandika #simuliziZaBuyobe #WameibaToolboxWamesahauFundi 1. MAUAJI YA BILIONEA MSUYA
    user avatar
    Fortunatus Buyobe
    @fbuyobe
    Jan 14, 2022
    In Every Crime,there is always a trail of evidence that is left behind. Fatilia mkasa huu wa mauaji ya kutisha yaliyotokana na kifo cha mtu mmoja tu. "A CHAIN OF MURDER CRIMES" UZI👇 #simulizizabuyobe
    Image
  • user avatar
    Fortunatus Buyobe
    @fbuyobe
    Nov 17, 2024
    Hii picha ilipigwa March 19 2013 Pichani ni rais mstaafu Jakaya Kikwete na mkewe wakienda kujionea hali ilivyo kwenye jengo lililoko kiwanja No. 2032/73 mtaa wa Indira Gandhi Jengo hili la ghorofa 16 lilikuwa limeanguka likiwa bado kwenye hatua za ujenzi.
    Image
    324K
  • user avatar
    Fortunatus Buyobe
    @fbuyobe
    Jan 21, 2025
    Kitendo cha Lissu kuingia Mlimani City akiwa ndani ya gari yake aliyopigwa nayo risasi, tena ikiwa bado na matundu yake ya risasi, kumeibua hamasa kubwa kutoka kwa wafuasi wake
    Image
    169K
  • user avatar
    Fortunatus Buyobe
    @fbuyobe
    Jun 28, 2024
    Kuanzia leo hii, isitokee sijui msanii kaugua, kafilisika, katekwa au kufirwa, then aombe msaada mtandaoni kisha mtu anitag. I will landmine you
    177K
  • user avatar
    Fortunatus Buyobe
    @fbuyobe
    Jun 27, 2024
    SATIVA'S UPADATES SO FAR 1. Jumapili alienda na kaka yake Coco beach na majira ya saa 11 jioni wakarequest bajaji mpaka Rwegalurila water institute. 2. Pale chuo cha maji wakapanda "Shato" mpaka utawala. 3. Kutoka utawala wakatembea mpaka geti la Msewe na changanyikeni
    Image
    438K
  • user avatar
    Fortunatus Buyobe
    @fbuyobe
    Aug 9, 2024
    Name: Nickson Jackson idara Makazi: Mbezi Afrikana (Kwa Barikiwe) Kulia ni mama yake anaitwaye Veronica Tulole na ni mjumbe shina wa CCM. Ama niweke namba zao tuwasalimie?
    Image
    Image
    416K
  • user avatar
    Fortunatus Buyobe
    @fbuyobe
    May 1, 2023
    Nani anajua kirefu na maana ya E 1 kama inavyoonekana kwenye gari ya nyuma hapo pichani. E 2 na E 3ni nani?
    Image
    319K
  • user avatar
    Fortunatus Buyobe
    @fbuyobe
    Aug 19, 2024
    Hizi ndio Uniforms mpya za Mgambo?
    Image
    186K
  • user avatar
    Fortunatus Buyobe
    @fbuyobe
    Dec 2, 2024
    Juma nature alikuwa mbele ya muda
    Image
    320K
  • user avatar
    Fortunatus Buyobe
    @fbuyobe
    Nov 12, 2024
    Pichani ni Kanali Bernard Paul Masala Mlunga aliyekuwa mpambe(Aide de camp) wa hayati rais Magufuli Picha hii imepigwa hivi karibuni akiwa chuo cha taifa za ulinzi Picha hii imeibua mijadala vijiweni baada ya kuonekana nembo ya "full bawa" kifuani mwake.
    Image
    425K
  • user avatar
    Fortunatus Buyobe
    @fbuyobe
    Nov 12, 2024
    1. Huyo jamaa tall mwenye aliyevaa raba na shati la mistari amepiga JKT Orjoro mwaka 2008 (Operation Kilimo kwanza) Alifahamika pale jkt kwa jina la NYANG'AU na alikuwa kombania B (B Coy) Mwaka 2009 akaajiriwa na jeshi la polisi na urefu wake ndio uliombeba. Mwaka 2021
    Image
    Image
    Image
    user avatar
    Boniface Jacob
    00:00
    user avatar
    Boniface Jacob
    Image
    482K
  • user avatar
    Fortunatus Buyobe
    @fbuyobe
    Jul 1, 2024
    Hii jamuhuri ya X ni zaidi ya familia.
    Image
    93K
  • user avatar
    Fortunatus Buyobe
    @fbuyobe
    Aug 19, 2024
    Unaweza usiamini nikikuambia huyo "mfupi nyundo" pamoja na ufupi wake, anauwezo wa kuruka ukuta mrefu kabisa. Chombo kinaenda kupoteza askari mwenye weredi wa kimedani lakini mpumbavu akiwa uraiani.
    Image
    247K
  • user avatar
    Fortunatus Buyobe
    @fbuyobe
    Jan 27, 2025
    Mwanajeshi wa Rwanda akimpekua mwanajeshi wa Kongo ndani ya nchi yake ya Kongo What a humiliation?
    Image
    249K

New to X?

Sign up now to get your own personalized timeline!

Create account

By signing up, you agree to the Terms of Service and Privacy Policy, including Cookie Use.

Terms·Privacy·Cookies·Accessibility·Ads Info·© 2026 X Corp.
Don't miss what's happening
People on X are the first to know.
Log inSign up
Advertisement
Advertisement