Pinned
Deputy Sheriff ๐ฐ๐ช
36.5K posts
Liverpool โคโค
- Gai elon anataka kuchukua account yangu na sina back up
- Introvert ni mtu anaweza lala njaa juu ya kukosa kiberiti pekee na hataki kuomba jirani
- Wenye mko karibu na tv . K24 inoanyesha iyo BBC documentary ?
- That pain ya kunyimwa na dem mwenye anakuwanga mwepesi wa kupeana
- We can all agree hakuna kazi ngumu kama ya kufua
- Lakin hawa JSS teachers wanakaa tu kuteseka ni kama wanafanya voluntary work
- Real pilots heri wakose njugu na wasikose internet
- Sijui kwanza ning'oe ulimi do create more space ya taxin
- Pilots kujua masaa ya kutema na usipitishe inahitaji high level of self discipline
- Introverts are keyboard woriors on other hand


