Visionary | Leader | Former District Commissioner - UR Tanzania, President’s Office | Secretary General Youth Wing @ccm_tanzania member of @clubdemadrid
Kwa unyenyekevu mkubwa namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kutupatia sote zawadi ya uhai.
Namshukuru Mhe Rais @SuluhuSamia kwa kuendelea kuniamini na kunipa dhamana ya uongozi.
Kisarawe nawashukuru sana mmenilea, mmenijenga. Mtabaki moyoni mwangu!
HODI HODI Temeke 🇹🇿
Nilipoteuliwa wapo walibeza na wengine kujaribu kunivua utu wangu. Niliwaelewa lakini. Pwani wanasema Aso Mtu Ana Mungu. Namshukuru Mungu wangu kwa kunitetea. Mhe Waziri Jafo kamuelekeza DED kuisajili hii shule ya kihistoria Kisarawe na iitwe Jokate Mwegelo Girls Secondary School
Niediiiiiii
Kooogwe Muendeeaa Zeze?
Niitamiwe Sana Kuiza Aha Leo.... Kangi Hata Inyi Muitamilwe Eeehh? ☺️
Asante Mheshimiwa Rais Dkt @SuluhuSamia Kazi Iendelee Korogwe 🇹🇿