Kwa siku chache hizi nilizouza Jersey za World Cup hapa external narecomend jersey kali yaani uzi ulionyooka na mtu akivaa anapendeza haswa📌
👇
1. Germany 🇩🇪
Huyu mdada nilimuona mara ya kwanza alikuja kutusimamia UE pale science complex
Basi alivoingia minong’ono tulijua tunamfananisha kumbe alikuwag staff pale UDSM
Congole kwake😂👏 japo alitukazia sana ile siku😂💔