Kama si kurauka mapema hii ingenipita happy mashujaa day guys
Ojwang Junior
61.2K posts
- Mkipewa insha kuhusu umuhimu wa miti alafu morio wako apate 35/40๐๐
- Pale highschool ukikosa kwenda morning preps uskie Kofi Kwa mlango
- Unaenda tu class vizuri halafu unapatana Na mermaid๐
- "Wewe kesi yako ni tofauti umenisumbua sana lala na huku"๐















