Replying to @MagdalenaJ81011Guys, kama ni wewe uliambia wife yako (ama ni dem yako) aendee stuffs za 285/- Quickmart ya Kahawa West , kisha ati akifika kwa Till akusomee Till number ulipe, alafu ukafanya aweke Jam ya 10 minutes akikungojea ulipe , nimelipa.
Siku ingine utanyang’anywa Bibi wewe.
Pata adabu