Mwananchiii 🔰🔰tiketi ya MUDA Day inakusubiri !!
Nagawa tiketi 10 kutoka CRDB kwa mashabiki watakaojibu swali chap kuelekea siku ya MUDA day, washindi wote nitawatangaza siku ya Alhamis saa kumi na mbili jioni.
#kwaokamakwetu
“De Gea ameniambia kuwa ameifahamu Tanzania kupitia Ander Herrera. Hivyo ana mpango hivi karibuni kutembelea Tanzania” Ommy Dimpoz (Matunda ya Royal Tour)