Nimekaa benki miaka 5,nilianzia branch na kupitia ukurasa huu huu wa twita nikahamishiwa HQ kitengo cha Marketing and communications.Leo nimejiunga @EfmTanzania creative marketing and radio presenter.Asante @officialmajizzo kwa kuniamini
#Tumejipata
Ebu tuongee tu ukweli uchawa tuweke pembeni, wale wanaharakati wa Kenya na wanasheria waliokuja walifanya vurugu gani? kati ya sisi na wao nani alimfanyia vurugu mwenzake?