Mtani kapewa ubaya kwa rejareja leo hapa dimba la KMC Complex, alama tatu muhimu.
#NguvuMoja
Simba Queens ๐น๐ฟ
1,139 posts
Official X Account of Simba Queens Tanzania the women's team of @simbasctanzania
๐ X 4 Tanzania Women's Premier League Champions
๐ X 1 Cecafa Winner
Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2024
- Tukiwa mawindoni Simba Queens tunakula hadi Ndizi, alama tatu muhimu tumechukua kwa Mlandizi Queens. โฝ๏ธ๐๐ฆ #NguvuMoja
- Mabrazaโ walifanya Ubaya kwa โkaka zaoโ, sisi tumemalizia Ubwela kwa โDada Mtuโ, hapa Mbweni Meja Isamuhyo. #NguvuMoja
- Goooooal Jentrixx anatupia kamba ya kumi na moja ๐๐ป Mlandizi Queens 0 - 11 Simba Queens. #NguvuMoja
- Alama tatu tumekusanya na tunaendelea kupigwa na baridi kwenye msimamo. #NguvuMoja
- Gooooooal Jentrix anatupia kamba ya kwanza ๐ฅ Simba Queens 1 - 0 Ceassiaa Queens. #NguvuMoja
- Rasmi Mwanza tumewafungia Mnara wa 5G wa kusambaza Ubaya Ubwela, chini ya udhamini wa Simba Queens. Heri ya mwaka mpya Wanasimba. #NguvuMoja
- Gooooooal Jentrixxx anatupia kamba ya pili ๐ฅ Jkt Queens 1 - 2 Simba Queens. #NguvuMoja
- Tafsiri ya โMwenda kwao sio Mtoroโ ni Aisha Mnunka. Karibu nyumbani. ๐ซโฝ๏ธ #NguvuMoja
- Golikipa wa kimataifa kutoka Kenya, Wilfrida Cedar ni Mnyama. Taarifa zaidi ingia kwenye Simba App. #WenyeNchi #NguvuMoja
- Gooooal Jentrix anatupia kamba ya nne ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ Fountain Gate Princess 2 - 4 Simba Queens. #NguvuMoja
- Karibu Msimbazi Kocha Yussif Basigi. Taarifa kamili tembelea Simba App ๐ฑ #NguvuMpja
- Watoto wa Msimbazi tumewaliza watoto wa geti kali wakiwa kwao, Ubaya Ubwela umetiki Babati, tunasalia kileleni. #NguvuMoja
- Huyu anaitwa Jenโhat trickโ Shikangwa, msambaza Ubaya ubwela wa maana kabisa. #NguvuMoja

















