Pinned
Spana & V.A.R Movement
206.7K posts
Spana Wolfgang Konki|
Certified Spanaz & V.A.R 🔧
Spana Headquarters🏢.
Spana & V.A.R Compilation.
Ni-Tag penye Spana/V.A.R.
JUMUIYA YA WAPIGA SPANA
V.A.R
Joined October 2020
- Wamehack page ya Polisi wakapost taarifa ya kifo cha Mwananchi #1 na wakapost chudai ya Upinde 😂😂
- Unaweza dhania wanarusha mawe kumbe ni wafanyakazi wa Mahakama kuu na Wanasheria wanawasaidia waandamanaji Maji
00:00 - Wamewekwa kwenye gari la Polisi, wakaamua kushuka kuendelea na Maandamano
00:00 - Asiyefunzwa na WAZAZI atafunzwa na WAPIGA SPANA...📌
- Sasa kama Mheshimiwa Waziri Dr. Stergomena mwenye dhamana ya wizara ya Ulinzi hajui namna ya kutumia Binoculars inakuwa na maana gani? 😁
- Aliyeingiza hizi Subtitles za Kiswahili kwenye Top Boy ni Mkenya au Mtanzania 😆😆
- Hawa wanaotukanwa kila siku kwasababu wanaPush Hashtag zisizo rafiki kwa Watanzania wengi wanaona ni sawa kwasababu ndio tunaocheka nao, tunaoMeet, tunakula na kunywa nao, tuko kwenye biashara zao. Na wanajua kabisa watatukanwa na watavumilia kutukanwa na siku wakiona inatosha
- Rest in peace to all the brothers and sisters who lost their lives, actually they didn’t lose their lives their lives were taken. Their sacrifice and blood will not go unanswered and will not be in vain, eventually their courage will forever demand justice 🙏🏾
- Wiki mbili zilizopita hazikuwa rahisi wala Rafiki kwangu ila nimejifunza mengi sana, pia nikaumwa kidogo hayo yalichangia mimi kupotea kidogo but nimerudi sasa. Asante kwa wote mlioniulizia, wote mlionitafuta Nashukuru sana🙏🏿
- Mzee huko Facebook alipost Uzi wa wanawake ambao amewahi kulala nao, kama 30 na zaidi 😂😂😂 #SundayVAR
- Sema Lema kacheza sana, kuna muda kura zilikuwa zinaonekana chache, kumbe kazibinya, mpaka alipoanza kuhesabu ndio akaweka uso wa Sicheki na wowote 😂




















