Ooh Allah, Thank you for giving me another year, for giving me life. All that I am is because of you Allah, and I bow to you only, Alhamdulillah. It's my birthday🌺
Ummy Mwalimu
9,099 posts
Presidential Advisor🇹🇿 and Head of Secretariat, African Union Champion for Maternal and Child Health / Former Minister of Health🇹🇿 2015 - 2020 & 2022-2024
Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2012
- Its my birthday🌺. Alhamdulillah. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuongeza mwaka ktk maisha yangu. Ummy Mwalimu wa sasa Vs Ummy Mwalimu 10 years ago. Ama kweli siku hazigandi.
- On this special occasion of my life, I pray for nothing else than the guidance of Allah in everything I do and every path I take. Happy birthday to me!
- Eid Mubarak! Tusherekee kwa Amani huku tukiendelea kuchukua Tahadhari na kujikinga na maambukizi ya #COVID-19
- Pongezi nyingi kwa Vijana wetu wa @Coastalunion_fc Hakika mmejituma. Kwangu mimi na wengi nyie ndio washindi wa game la lao. Hongereni sana! Asanteni sana kwa kuiheshimisha Tanga na Soka la Tanga. So proud of you @Coastalunion_fc
- Alhamdullilah! Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuongeza mwaka ktk maisha yangu. Ninawashukuru wote mlionitakia heri na kuniombea mema. Nami ninawaombea heri na baraka ktk kazi na maisha yenu #virgowoman Nb. Kwa wapiga kura wa #TangaMjini ni hivi #odoummyatosha✅ #Magufuli5Tena
- Mimi na mama yangu tunawakia Eid Mubarak! Mwenyezi Mungu uwalinde na uwape afya njema wazazi wetu na pia uwarehemu wazazi wetu waliotangulia mbele ya haki. Eid Mubarak! Kutoka kwa watu wa Tanga Mjini🙏
- A good heart has stop beating! My heartfelt condolences to his family. Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu. RIP Balozi Augustine Mahiga. Ulikuwa mtu mwema sana, usie na makuu na kutojikweza licha ya nafasi kubwa/nyeti ulizowahi kushika nchini na kimataifa. PKA Balozi.




















