i think YT music iko na sound kali
Ni siku nyingine ya kuwakumbusha kila napo compare sound quality ya YT music na Spotify au other streaming platform bado nafeel Spotify kwangu ni the best na Huwa na enjoy sana napo stream audio kwenye quality ya juu kabisa nafeel ubora wa music unanipa tulizo na hapo ndipo




