Huyu Mama angekuwa Mbunge Wangu kura yangu angekula kiboss tu bila hata nguvu nyingi.
Kuna viongozi wanazurura page za Udaku tu wakikutana na Kesi zetu hata tukiwa Tag wanazipita post kama Ads za Alibaba ila huyu Mama anajitahidi sana japo hawezi wafikia wote.
Mungu amuweke
Kwa kipindi kifupi nimeshinda na hawa watu kwa ukaribu sana kitu nilikuja kugundua hawa watu kwa Ground wanafanya mambo makubwa sana kuliko hata yanayoonekana huku. Hata siku ambayo tupo Muhimbili tukisuburi Ambulance ya Sativa ifike nilishangaa sana Martin kuwa busy na Simu
Siku ya Tukio kamaliza Ibada ila kapoa church mpaka saa 5 usiku,
Haieleweki kateleza vp mule ndani 😂😂
Waumini wake waliunganishiwa Bulk SMS.
Tukiwa mwezi May jamaa alikuwa anaishi Mwezi June.
Genius Kweli Kweli. 🔥🔥
Nilitaka niandike baada ya kuona upande wetu ambao ni wa familia ni nini kitafanyika baada ya Statement ya jana lakini bado kimya. Acha niongee kwa upande wangu mwenyewe iko hivi Sativa alipotea kwa siku zaidi ya 3 mimi ndo mtu wa kwanza kugundua kuwa Sativa amepotea na ndio mtu
Mchizi anaweza akakwambia amepata kazi humu saizi mwezi wa 9 akawa mambo mbaya anakuomba hadi vocha mwezi wa 10 anakupa lift wewe kwenye gari yake. Sio mwana mmoja au wawili mi nimewaona wanaojua wanajua pengine kuna mgodi wa hela humu.
IYKYK🤝
Tukipata Reform maana yake uchaguzi utakuwa wa haki, Uchaguzi ukiwa wa Haki maana yake tutapata Viongozi Bora, Tukipata Viongozi Bora maana yake Kodi, Ushuru, Elimu na biashara itakuwa ni kuteleza tu.
Repost Repost Repost
Kopo moja tu la kichwa mnatoka kukemea vikali ila raia wanamwagiwa tindikali, wanapigwa Risasi, wanapotezwa hamtoki kukemea. Na wewe Barnaba utapokea haki yako umesema zaidi ya mara 3 ya nne itakuwa kwako Rasta.