Timu ya Taifa ya Wanawake @twigastars imeondoka leo kuelekea Zambia kwenye mchezo wa kirafiki wa Kimataifa dhidi ya timu ya Taifa ya Wanawake ya Zambia, mchezo utakaochezwa Jumapili Juni 11, 2023.
@CAFwomen @Tanfootball
TWIGA STARS
470 posts
Official Twitter Account for Tanzania Women Football National team ⚽️
Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2016
- MSOMI NA BOLI : Hongera mchezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) Janeth Pangamwene kwa kuhitimu Shahada ya kwanza ya Uhasibu .
- Ratiba ya mashindano ya kufuzu Olimpiki kwa Wanawake Paris 2024 @azamtvtz @twigastars @ligikuuwanawake @CAF_Online @Cecafaonline
- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Kombe la Ubingwa wa COSAFA kutoka kwa Nahodha wa Timu ya Taifa ya Wanawake @twigastars Amina Ali Bilali leo tarehe 27 Oktoba, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam @azamtvtz @COSAFAMEDIA @CAFwomen
- 64' Uganda 🇺🇬 1️⃣-1️⃣ 🇹🇿 Tanzania ⚽️Oppa Clement ⚽ Catherine Nagadya 🏟 MTN Omondi, Lugogo #FriendlyMatch @twigastars @CAFwomen
- 50' Uganda 🇺🇬 1️⃣-1️⃣ 🇹🇿 Tanzania ⚽️Oppa Clement ⚽ Catherine Nagadya 🏟 MTN Omondi, Lugogo #FriendlyMatch @twigastars @CAFwomen
- Tumesonga raundi ya tatu ya kufuzu Olimpiki 2024 Paris. @twigastars
- Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake “Twiga Stars” Fatuma Issa amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo dhidi ya Botswana mashindano ya COSAFA yanayofanyika Port Elizabeth, Afrika Kusini. @cosafafootball @caf_online @twigastars @wallacekaria @WKidao @CAFwomen
- Kila la heri @twigastars kwenye mchezo wa leo kufuzu WAFCON 2024. @twigastars @ligikuuwanawake @CAFwomen
- Kikosi cha Timu ya Taifa ya Wanawake @twigastars kinachoanza kwenye mchezo dhidi ya Sudan Kusini mashindano ya COSAFA. @wallacekaria @WKidao @CAFwomen @tplboard @COSAFAMEDIA
- 73' Uganda 🇺🇬 1️⃣-1️⃣ 🇹🇿 Tanzania ⚽️Oppa Clement ⚽ Catherine Nagadya 🏟 MTN Omondi, Lugogo #FriendlyMatch @twigastars @CAFwomen

















