Kila hatua DUA wanangu. Ni BARAKA zake MUNGU, mtaa unanielewa. Hii love inathibitisha βmy mama didnβt raise no foolβ. Namlipa nini Mungu zaidi ya kuendelea kusimama na UMMA kila siku?
NB; Mmiliki wa Bajaji hii, binafsi simfahamu, anicheki, nimβ BLESS na kakitu. Hii ni LOVE. β€οΈ