Log inSign up
John kalage 🇹🇿
269.1K posts
Image
user avatar
John kalage 🇹🇿
@kalage_jr
إِنَّ اللَّهَ مَعَ الصَّابِرِينَ
Kutoka 14:14
Born May 12
Joined September 2020
1,957
Following
204K
Followers
  • Pinned
    user avatar
    John kalage 🇹🇿
    @kalage_jr
    Jun 5
    Budget ya elfu 30 mpaka million moja nicheki kuna vitu vyako vizuri hapa Bamaga. ☎️ 0678213259
    Image
    Image
    Image
    Image
    3K
  • user avatar
    John kalage 🇹🇿
    @kalage_jr
    Oct 28, 2023
    Nimepata bahati ya kutembelewa ofisini kwangu na Mheshimiwa @jokateM Tumezungumza machache zaidi nashukuru Sana kwa ukarimu wako umenihamasisha kujituma zaidi. Mungu akubariki Sana kwa kujali, Kuthamini na kutumia wakati wako kwajili yangu. Karibu Tena Mhe hapa ni kwako 😅🙏
    Image
    494K
  • user avatar
    John kalage 🇹🇿
    @kalage_jr
    Oct 24, 2023
    God is Good, Finally we are Open. Ahsanteni sana ndugu zangu kwa ushirikiano wenu kipindi chote tangu ninaanza mpaka hapa nilipo fikia, mnanafasi kubwa sana kwenye maendeleo yangu. Mbarikiwe Sana. ❤️
    Image
    306K
  • user avatar
    John kalage 🇹🇿
    @kalage_jr
    Sep 25, 2023
    Ahsante Sana brother @IAMartin_ kwa support yako. Hii ni zaidi ya biashara kwangu. 🙏
    Image
    72K
  • user avatar
    John kalage 🇹🇿
    @kalage_jr
    Oct 28, 2023
    Karibu Bamaga upate na wewe liPerfume lako kama Mheshimiwa. 😌 ☎️0678213259
    Image
    106K
  • user avatar
    John kalage 🇹🇿
    @kalage_jr
    Sep 22, 2024
    Kiukweli Hapa simba walipata mtu.
    Image
    34K
  • user avatar
    John kalage 🇹🇿
    @kalage_jr
    Sep 25, 2023
    Namshukuru Sana Mhe. @ummymwalimu Waziri wa Afya kwa kujali na kuguswa kuniunga mkono. 🙏❤️
    Image
    Image
    174K
  • user avatar
    John kalage 🇹🇿
    @kalage_jr
    Jun 27, 2024
    Jaribu kusafirisha Bangi kutoka Dar mpaka Arusha halafu uzitoe Arusha uzipeleke Katavi.
    109K
  • user avatar
    John kalage 🇹🇿
    @kalage_jr
    Sep 24, 2023
    Niliamka Sina kitu sikupanga wala siku tegemea kama leo ningelala na kiasi hiki cha fedha. Mbarikiwe Sana pale mlipo punguza. Nawaahidi tutaendelea kuwa pamoja na kushirikiana ndani na nje ya huu mtandao.
    Image
    180K
  • user avatar
    John kalage 🇹🇿
    @kalage_jr
    Sep 27, 2023
    💨Mwanangu Njiwa flow nae amechagua kunukia na kalage Perfumes..
    Image
    72K
  • user avatar
    John kalage 🇹🇿
    @kalage_jr
    Sep 25, 2023
    Napenda kutoa shukran zangu za dhati kwa Mh @jokateM kwa kuzingatia ombi langu ameniahidi anatanguliza Moja leo nyingine inafuata. Ahsante Sana Mh Jokate kwa kujali, we are going to take Kalage Perfumes to the next level. ❤️
    Image
    366K
  • user avatar
    John kalage 🇹🇿
    @kalage_jr
    Nov 13, 2024
    Vichwa vya Habari kesho asubuhi: Swala la Ali Kiba na Kalage lachukua Sura mpya.
    Image
    119K
  • user avatar
    John kalage 🇹🇿
    @kalage_jr
    Oct 1, 2023
    Image
    74K
  • user avatar
    John kalage 🇹🇿
    @kalage_jr
    Mar 26, 2025
    Nitajie mchezaji wa Argentina ambae hana tattoo nikupunguzie bei ya Perfume ..
    Image
    166K

New to X?

Sign up now to get your own personalized timeline!

Create account

By signing up, you agree to the Terms of Service and Privacy Policy, including Cookie Use.

Terms·Privacy·Cookies·Accessibility·Ads Info·© 2026 X Corp.
Don't miss what's happening
People on X are the first to know.
Log inSign up
Advertisement
Advertisement